Kuna watu wanajilipa 4000 USD kwa siku kwa ajili ya matumizi na Bata. Kwa siku maamaeeSema kwa mtu mwenye networth ya $560M sio jambo la kushangaza. Hio kwa madafu tayari ni trillion ambayo iko kwenye mzunguko.
55% ya Faida yake akiichukua mwenyekiti tu ni hela ndefu sana kila mwaka. Chukulia faida kwa mwaka iwe $60M tu.
It means mwenyekiti anakunja likely $35M pekeake kila mwaka wa biashara. Hio kwa madafu tunazungumzia 75B kila mwaka. Ukiigawa kwa mwezi maana yake haipungui 6B kila mwezi kama gawio la mzee Mengi.
Anacho claim huyo dada kinawezekana kabisa kupewa.
Ila mzee Mengi jamani. Ona anavyowasababishia matatizo watoto wake. Starehe million 90 du hivi huyu Jack jamani anataka kuwa tajiri mwanamke number moja Africa?
Angekua mama ako ndio kaolewa mke wa pili ungeandika haya?Kuoa uzeeni ni kuleta balaa nyumbani
Kwanini asioe?Washua mkisha zeeka msioe hawa wanawake wachanga hususani hawa wanao angalia panapo fuka moshi mtasababisha uzao wenu uteseke na kusumbuana na kurogana saana. Mkisha zeeka wazee wetu tafuteni wa bibi wenzenu.
Kula starehe mkuu, ujibane kisa nini?Ndio maana mimi na umri wangu na kustaafu kwangu mabinti nawaogopa sana,wao wanawaza pesa tu sio mapenzi.
Yaani binti awe mzuri vipi au akae uchi mm napita tu maana najua hii ni hatari kwa maisha yangu ya sasa na yajayo.
Wastaafu tutulie njia kuu au tutafute wazee wenzetu,tukihangaika na hawa mabinti wa mwendokasi imekula kwetu mazima tukiwa hai au kaburini.
Hio hela ni trillion 1.33 za madafu,.we unaongelea 100B hela ya ruzuku tu πππMengi alikua na net worth ya over 500M USD yani zaidi ya 100B madafu. Pesa ndogo sana kumuachia spouse wako haifiki hata 1B TSH. I believe Jack ana akili na mpambanaji anadai zaidi ya hiyo.
Kwani baba yao si alikua anazitoa kwenye biashara zake? Biashara si zipo?Kama baba yao yupo yes. Sasa anawaomba watu ambao si wazazi wa hao watoto. Yeye kama mzazi ana uwezo wa kutoa hizo pesa ?Tuanzie hapo kwanza.
Kwa nilivyoelewa, hii ni case kapeleka mahkama ya watoto kudai malimbikizo, marehemu akiwa hai alikuwa anatoa pesa hiyo Kwa mwaka. So hiyo sio urithu Bali anadai matumizi ya watotoMengi alikua na net worth ya over 500M USD yani zaidi ya 100B madafu. Pesa ndogo sana kumuachia spouse wako haifiki hata 1B TSH. I believe Jack ana akili na mpambanaji anadai zaidi ya hiyo.
Dogo anatembeza sumu ya mende kunguni kiroboto door to door πππ wakati mzee wake aliacha B1Kula starehe mkuu, ujibane kisa nini?
Unaacha mali zitunze familia yako ukifa lkn anatokea ndugu yako kusikojulikana anawapoka mali wanabaki maskini....
Kwa niliyoyashuhudia familia nyingi sana wazazi walikua matajiri watoto wanavyoishi sasa hivi bora usiwaachie hata sh 100.
Hahah kwani dunia ni yetu?Kuna watu wanajilipa 4000 USD kwa siku kwa ajili ya matumizi na Bata. Kwa siku maamaee
Kwa nilivyoelewa, hii ni case kapeleka mahkama ya watoto kudai malimbikizo, marehemu akiwa hai alikuwa anatoa pesa hiyo Kwa mwaka. So hiyo sio urithu Bali anadai matumizi ya watoto
Hio hela ni trillion 1.33 za madafu,.we unaongelea 100B hela ya ruzuku tu πππ
Sawa huoni tabu wanayo sumbuana nayo kwa sasa. Maisha hatupangiani ila kwenye kuambiana ukweli tunaambiana. Wanawake wengi chanzo cha matatizo na migogoroKwanini asioe?
Asifanye starehe zake kisa wewe uridhi mali? Tafuta zako.
Wapi nimetaja mchaga happ au kusoma tabu mkuuJack mchaga? Au unachuki tu na wachaga?
Yule wa mrema ni binti kwani mkuu.Ndio maana mimi na umri wangu na kustaafu kwangu mabinti nawaogopa sana,wao wanawaza pesa tu sio mapenzi.
Yaani binti awe mzuri vipi au akae uchi mm napita tu maana najua hii ni hatari kwa maisha yangu ya sasa na yajayo.
Wastaafu tutulie njia kuu au tutafute wazee wenzetu,tukihangaika na hawa mabinti wa mwendokasi imekula kwetu mazima tukiwa hai au kaburini.