Mamilioni ya pesa anayotaka Jackline Mengi kwa ajili ya malezi ya watoto wake haya hapa!

Lazima hiyo hela alipwe. Kwanza hao watoto wakubwa wa mengi baba yao alisema wasipewe chochote. Sheria lazima ifuate mkondo wake.
 
Pisi kali za kichagga hazijui mapenzi. Mzee akaona kwa nini apate tabu.
Mapenzi na uzee wapi na wapi.
Uzeeni ni umri wa matengenezo ya kuiacha Dunia baada ya expired date.Kila jambo na stage yake
 
Ila mzee Mengi jamani. Ona anavyowasababishia matatizo watoto wake. Starehe million 90 du hivi huyu Jack jamani anataka kuwa tajiri mwanamke number moja Africa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan had nimeshangaaa.
 
Wewe kwako unaona kubwa ila Mzee Mengi hizo alikua anazimudu na aliwahudumia..
Sasa kwani yupo, mali zake haziwezi kuwa mbadala wa yeye..., daladala bila dereva si kitu, na huwezi tegemea hawa madereva wa deiwaka waliokabidhiwa basi kwa mida wakawa na ujanja wa kupakia abiria na kuingiza pesa kama dereva wa awali, japo basini lile lile na ruti ni ile ile..
 
mali zake haziwezi kuwa mbadala wa yeye...
Mali zake ni yeye.. alafu emu unapoandika tumia logic usiandike andike tu mradi umeandika... Ni sawa wewe leo ufe alafu watu waseme hauna hati miliki ya mali zako umenipata tafakari tena alafu uje
 
Unaweza kuwapitia ila sio kwa kufunga ndoa,kufunga ndoa na hawa madogo ni ujinga acha aishie kula vi laki laki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…