Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

Ni kiasi gani kweni mkuu ni DM
Ni kiasi gani kweni mkuu ni DM
Ukishapata offer letter Yako utajua ni kiasi gani usiwe hata na pressure ila don't expect too much utakua disappointed...kuwa tu kawaida kupokea any figure utakayoikuta ikiwa Zaid ya expectations zako utafurah ikiwa below utasikitika...so be normal tu!
 
Mimi sijapata ushindani ulikuwa mkubwa japo nilifika mpaka oral.
 
Hizi ajira zilitangazwa tangu mwezi August 2021 hadi sasa vijana hatujaitwa kwenye interview wala hakijulikani kinachoendelea.

Kila tukiuliza tunaambiwa Mh. waziri wa nishati ,January makamba hajatoa kibali cha ajira. Sasa kwanini nafasi zilitangazwa na watu wakaomba?

Tunaomba mamlaka zinazuhusika kuifuatilia jambo hili na inawezekana EWURA iliajiri kimya kimya bila interview kufanyika kwa kuwachukua Watoto wa vigogo na kuwapa ajira.

Kila tukifuatia HR wa Ewura kupitia simu namba 0783-335-800 Anajibu majibu ya ajabu kwa kusema hakuna ajira wakati alitoa tangazo la ajira.
Rais samia tunakuomba angalia Ewura kwa jicho la karibu malalamiko ni mengi mno.
Achana na EWURA wengine hata hatujisumbui kuomba ajira huko
 
Back
Top Bottom