Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Daaaah huku nilipo inabidi niondoke aiseee maisha hayako fair kabisa
Mzee mimi mwanzo nilikuwa napewa hizi info ila nilikuwa siamini lakini baada ya kuingia kwenye hizi kazi za International Organizations nimeamini kweli kuna watu wanavuta mpunga kiongozi.
Acha kabisa mkuu...!