peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Majina ya walioitwa kwenye usaili yako wapi?Vipi kama walishaita watu kwenye usahili na kuajiri tayari!
Majina ya walioajiriwa yako wapi?
Waliajiriwa lini ?
Waziri wa utumishi anslifahamu hili?