The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Toeni risiti tuu,next year mama anataka kujenga vituo vya afya 304, hospital 28 na nyumba za watumishi 150 👇muda wa kutukamua mpka utumbo sasa sisi wajasiriamali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toeni risiti tuu,next year mama anataka kujenga vituo vya afya 304, hospital 28 na nyumba za watumishi 150 👇muda wa kutukamua mpka utumbo sasa sisi wajasiriamali.
Kuna mgawanyo serikali imeuweka kwenye muundo wa utumishi.Walimu kweli wanaonewa Mwenye elimu ya shahada analipwaga kiivyo 2.3 M TRA ? Hivi mwenye Diploma analipwa ngapi? Unaweza kuta mshahara wa Dip sawa namwalimu mwenye Master yake anaefundisha Sekondari.
Stay tuned wiki ijayo kuna mzigo mwingine wa zile ajira 32,000Shukran kiongozi sema hizi
Haziniusu mi ni mtu wa misitu
Huenda ukaitwa zijazo maana wanaoingia oral huwa wanatunzwa kwenye data base..Mimi sijapata ushindani ulikuwa mkubwa japo nilifika mpaka oral.
Ukipata Kazi nje ya Nchi nenda,hapo tuu Oman dereva wa truck anavuta hadi mil.3 za bongo na stahiki zingine..Kabisa kabisa my dear kuna watu wanavuta mpunga mrefu sana juzi kuna position ilitoka Ireland Embassy nikamtumia sister aombe aisee, jamaa waliweka na salary yao kabisa per annum, tulivyokuja kuigawa tukakuta kwa mwezi salary anayotakiwa kulipwa ni almost 9m my lovely.
Acha kabisa my dear...!
Shida ya wabongo wamekariri ajira ni za serikali tuu,wanaogopa kwenda kushinda a nje ya Nchi nkMzee mimi mwanzo nilikuwa napewa hizi info ila nilikuwa siamini lakini baada ya kuingia kwenye hizi kazi za International Organizations nimeamini kweli kuna watu wanavuta mpunga kiongozi.
Acha kabisa mkuu...!
Watuongezee na za Uhasibu pia tuombe double doubleVumilieni next week kuna zingine zaidi ya 30,000 zinakuja hasa walimu,madaktari na manesi..
Za kada zingine zitakuwa kiasi.Hata hivyo wale waliosomea Mambo ya kilimo na mifugo kuna ajira za mkataba wizara imemwaga ziko kama zote ingia page yao muombe.
Kuna pesa ndefu za kupiga sio za kulipwa.Kwenye pesa ndefu Ni tcra, EGA,bot,tpdc
Kuna jamaa flani anafanya kwenye organization flani iko chini ya UN huko kigoma, analipwa mls 45 kwa mwezi.Shida ya wabongo wamekariri ajira ni za serikali tuu,wanaogopa kwenda kushinda a nje ya Nchi nk
Ila to be honest organization za Nje wanalipa vizuri sana ila lazima upige Kazi kweli kweli hakuna janja janja.
Acha uongo, hao executives wenyewe WA UN Head quarters New York hawalipwi hiyo pesaKuna jamaa flani anafanya kwenye organization flani iko chini ya UN huko kigoma, analipwa mls 45 kwa mwezi.
Endelea kubisha tu. Tena huyo jamaa ni MhayaAcha uongo, hao executives wenyewe WA UN Head quarters New York hawalipwi hiyo pesa
Ni kama nimesoma neno surrounding, sasa mtu yupo Ntwara Mkuu naye ni "surrounding", then kila mtu atapata alichoandikiwa.
Sasa wahaya huwajui na majivuno ?, Ulipwe milioni 40 Kwa uzuri gani ?Endelea kubisha tu. Tena huyo jamaa ni Mhaya
Labda ni story ila mimi nilikuwa kigoma huko nikakutana na jamaa anafanya hapo ni engineer tukawa tunapiga story za miradi yao na masuala ya mishahara. Wao wakawa wanaponda serikali kuwa hakuna pesa yeye analipwa 8 kwa mwezi ndio akaniambia yule jamaa boss wetu anakula 45 kwa mwezi.Sasa wahaya huwajui na majivuno ?, Ulipwe milioni 40 Kwa uzuri gani ?
Dip.ni zaidi ya 1.3 gross
Sina actual figures ila viwango ni 1.3 kwa dipl. Na 2.3 kwa bachelor..Mkuu TRAS 1 ni sawa na kiasi gani cha fedha kaka...?
Ni kawaida ya maisha kutafuta greener pastures zaidi kwa sababu the high income high expenditures
Sina actual figures ila viwango ni 1.3 kwa dipl. Na 2.3 kwa bachelor..
But TRAS 1 kwa vyovyote vile iko chini hiyo itakuwa ya madereva,wahudumu,ma ps na wafakazi wengine wa ngazi za chini.