Aisy
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 500
- 1,126
Subiri mwaya ukisign offer letter Yako utajua ila usisikilize maneno ya mtandaoni wanapotoshaAu uwongo wanatudanganya na TRSA 3 km ivo imekaaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri mwaya ukisign offer letter Yako utajua ila usisikilize maneno ya mtandaoni wanapotoshaAu uwongo wanatudanganya na TRSA 3 km ivo imekaaje
Wakuu mimi pia nimepita. Sifa na utukufu nikwako Mungu uliye mkuu usioweza kuelezeka. Kesho nipo kwenye gari naelekea dodoma.
Mh.Sasa TRA unalipwa 2.3 M Haina Posho ya Nyumba, Haina Posho ya utilities, Haina Posho ya ujuzi,Haina Posho ya katikati ya mwezi hence 2.3 m sio nyingi kivile
Unaguna nn?
Ni kiasi gani kweni mkuu ni DMTRA Scale 4 ni 2.3 M watu huku kweli tunadanganyana🤣🤣🤣
2.3m sio pesa nyingiUnaguna nn?
BOT walikuwa wanalipwa vizuri zamani siku hizi hakuna kitu, TCRA ndo wanaoongoza kwa sasa kwa maslahi mazuri ya wafanyakaziYeah sio nyingi Sana, compared to TCRA,BOT
Ni kiasi gani kweni mkuu ni DM
Ukishapata offer letter Yako utajua ni kiasi gani usiwe hata na pressure ila don't expect too much utakua disappointed...kuwa tu kawaida kupokea any figure utakayoikuta ikiwa Zaid ya expectations zako utafurah ikiwa below utasikitika...so be normal tu!Ni kiasi gani kweni mkuu ni DM
Mimi sijapata ushindani ulikuwa mkubwa japo nilifika mpaka oral.Ukishapata offer letter Yako utajua ni kiasi gani usiwe hata na pressure ila don't expect too much utakua disappointed...kuwa tu kawaida kupokea any figure utakayoikuta ikiwa Zaid ya expectations zako utafurah ikiwa below utasikitika...so be normal tu!
Ndio nawafahamu 10 waliokosaKuna waliokuwa wanaojitolea tra je Kuna aliekosa?
Hapana, sijawahi jitolea TRA,, nimeomba tuu nikapita kama wengine!Ulikua umejitolea/internship hapo TRA kabla mkuu?
Rais Samia EWURA wamekalia mkeka Tangu mwaka 2021 hadi leo vijana wako mitaani na interview vijana hawaitwi kisingizio wanamzingiza January makamba kakataa wasiitwe.
Wapigie simu wanatoa waoJaman naomben kuuliza nimeweka certificate ila najaribu kuondoa niweke certified inagoma nifanyaje?
Hongera sana mkuu,all the bestHapana, sijawahi jitolea TRA,, nimeomba tuu nikapita kama wengine!
Achana na EWURA wengine hata hatujisumbui kuomba ajira hukoHizi ajira zilitangazwa tangu mwezi August 2021 hadi sasa vijana hatujaitwa kwenye interview wala hakijulikani kinachoendelea.
Kila tukiuliza tunaambiwa Mh. waziri wa nishati ,January makamba hajatoa kibali cha ajira. Sasa kwanini nafasi zilitangazwa na watu wakaomba?
Tunaomba mamlaka zinazuhusika kuifuatilia jambo hili na inawezekana EWURA iliajiri kimya kimya bila interview kufanyika kwa kuwachukua Watoto wa vigogo na kuwapa ajira.
Kila tukifuatia HR wa Ewura kupitia simu namba 0783-335-800 Anajibu majibu ya ajabu kwa kusema hakuna ajira wakati alitoa tangazo la ajira.
Rais samia tunakuomba angalia Ewura kwa jicho la karibu malalamiko ni mengi mno.
Picha imeniondoa kwenye gemu,Hawa jamaa wako makini sanaKuweka picha, weka cv weka kila kitu yaani ili wakose sababu... namba ya NIDA. Hakikisha accout yako imefika angalau 80%
Huweka picha..?Picha imeniondoa kwenye gemu,Hawa jamaa wako makini sana
Sasa kwanini wanatangaza ajira hewa?Achana na EWURA wengine hata hatujisumbui kuomba ajira huko