Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Shida ya wabongo wamekariri ajira ni za serikali tuu,wanaogopa kwenda kushinda a nje ya Nchi nk
Ila to be honest organization za Nje wanalipa vizuri sana ila lazima upige Kazi kweli kweli hakuna janja janja.
Kuna jamaa flani anafanya kwenye organization flani iko chini ya UN huko kigoma, analipwa mls 45 kwa mwezi.
Labda ni story ila mimi nilikuwa kigoma huko nikakutana na jamaa anafanya hapo ni engineer tukawa tunapiga story za miradi yao na masuala ya mishahara. Wao wakawa wanaponda serikali kuwa hakuna pesa yeye analipwa 8 kwa mwezi ndio akaniambia yule jamaa boss wetu anakula 45 kwa mwezi.
Tena akaniambia karibu watu wote wanaofanya kazi kigoma watakudanganya wanafanya UN ila kuna mashirika mengi tu ila UN ndio wanalipa ela kubwa hao wengine wana mishahara ya kawaida.
Tatizo sio risiti mkuu tatizo matumizi mabaya ya kodi zetu.Toeni risiti tuu,next year mama anataka kujenga vituo vya afya 304, hospital 28 na nyumba za watumishi 150 👇
View attachment 2182559
Hapana mkuu ila naweza muuliza kupitia mtu ambaye ni rafk yake na huyo ndo rafiki yangu mimiAisee huyu jamaa wa UN bado mnawasiliana naomba uniulizie kitu kwake mkuu...!
Tatizo sio risiti mkuu tatizo matumizi mabaya ya kodi zetu.Toeni risiti tuu,next year mama anataka kujenga vituo vya afya 304, hospital 28 na nyumba za watumishi 150 👇
View attachment 2182559
Kipimo cha uzuri na ubaya unacho wewe boss?Tatizo sio risiti mkuu tatizo matumizi mabaya ya kodi zetu.
Sio hela nyingi kihivyo ila inatosheleza basic needs. Utaishi comfortably kama huna wategemezi wengi.Wee 2.3 m ni nyingiii jaman,
Mbona kuna mkeka mwengine kama huo leoDah kama Kuna kijana Ali apply izo KAZI na amekosa afute ndoto ya kufanya kazi TRA tena hapo ajira zingine km izo ni 2025-30
Mimi ni mgalatia ila kuna ka ukweli kwenye uliyoyasema uongozi wa wagalatia huwa wa kisenge sana.Kama una hela nunua ardhi saizi,Samia akiwa Madarakani kuanzia 2025 bei ya ardhi itakua juu na italipa kabla ya kuja mgalatia wa roho mbaya.
Mark my words.
Sio hela nyingi kihivyo ila inatosheleza basic needs. Utaishi comfortably kama huna wategemezi wengi.
Pesa ni ndogo ukiwa nayo mkuu ila kama umesugua benchi miaka 4 upo ground zero full of stress unaunga unga hela za udalali elfu 10-20 tena kwa tabu sana usiongee hivyo mzee!Unaiona nyingi coz upo nje ya game my lovely ila anayechukua hiyo 2.3m sahizi anatafuta sehemu nyingine inayolipa pesa zaidi ya hiyo mkuu. Acha tu...!
Mkuu naongelea uzoefu tu hata slip yangu haifikii hapo mzee ila ishu ni kwamba kwa TRA watu wana mashindano sana mle, kuna wapiga dili wakubwa na mahawara wao wanaishi lavish lifestyle ndio wanaofanya madogo wakiingia waanze wizi sababu nao wanatamani waweze kumiliki vitu vizuri!Mkuu inaonekana unakula mpunga mrefu
Kule posho mlima na benefits kila mahali😅 sema kupata sasa ndio ishuMie napenda sana International Organizations.
Na kazi kazi sio poa..Kule posho mlima na benefits kila mahali[emoji28] sema kupata sasa ndio ishu
EWURA, TPDC, TCRA, BOT hao walau wana mizigo ya kueleweka.Unachosema ni sahihi kabisa mkuu. Kuna vitengo wanakunja hela ndefu sana katika hizi hizi Government Institutions au Authorities, achimbilia mbali huko kwenye Embassies, International Organizations na U.N ndio hatari sana.
Hapana mkuu ila naweza muuliza kupitia mtu ambaye ni rafk yake na huyo ndo rafiki yangu mimi
Eeh kazi unapiga chief ila imagine mapumziko unalipwa! Ofisi gani ya mbongo utalipwa vacation?Na kazi kazi sio poa..
Mkuu naongelea uzoefu tu hata slip yangu haifikii hapo mzee ila ishu ni kwamba kwa TRA watu wana mashindano sana mle, kuna wapiga dili wakubwa na mahawara wao wanaishi lavish lifestyle ndio wanaofanya madogo wakiingia waanze wizi sababu nao wanatamani waweze kumiliki vitu vizuri!
You can never afford that kwa 2.1M lazma uone ndogo.
Mbona kuna mkeka mwengine kama huo leo