Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

Shida ya wabongo wamekariri ajira ni za serikali tuu,wanaogopa kwenda kushinda a nje ya Nchi nk

Ila to be honest organization za Nje wanalipa vizuri sana ila lazima upige Kazi kweli kweli hakuna janja janja.

Sure brother hakuna janja janja ukipita umepita kweli na mpunga utakaovuta mwenye Masters yake kwenye utumishi wa umma anasubiri mkuu.
 
Kuna jamaa flani anafanya kwenye organization flani iko chini ya UN huko kigoma, analipwa mls 45 kwa mwezi.

Mkuu hilo wala sikupingi aisee hawa jamaa mipunga yao mirefu sana kiongozi. Mi nilishangaa jamaa ni dereva tu lakini anavuta 4m na watoto anasomeshewa wasiozidi wa 4 bado kuna posho za kufa mtu mkuu. Daaaaah...!

Hatari sana kiongozi.
 
Labda ni story ila mimi nilikuwa kigoma huko nikakutana na jamaa anafanya hapo ni engineer tukawa tunapiga story za miradi yao na masuala ya mishahara. Wao wakawa wanaponda serikali kuwa hakuna pesa yeye analipwa 8 kwa mwezi ndio akaniambia yule jamaa boss wetu anakula 45 kwa mwezi.
Tena akaniambia karibu watu wote wanaofanya kazi kigoma watakudanganya wanafanya UN ila kuna mashirika mengi tu ila UN ndio wanalipa ela kubwa hao wengine wana mishahara ya kawaida.

Aisee huyu jamaa wa UN bado mnawasiliana naomba uniulizie kitu kwake mkuu...!
 
Unaiona nyingi coz upo nje ya game my lovely ila anayechukua hiyo 2.3m sahizi anatafuta sehemu nyingine inayolipa pesa zaidi ya hiyo mkuu. Acha tu...!
Pesa ni ndogo ukiwa nayo mkuu ila kama umesugua benchi miaka 4 upo ground zero full of stress unaunga unga hela za udalali elfu 10-20 tena kwa tabu sana usiongee hivyo mzee!

Trust me hela ndogo sana kama unaishi maisha makubwa tayari upo kwenye mfumo kimsingi hela haijawahi tosha. Utataka upange jumba la laki 4 uende bar kila weekend na kumiliki crown jini mafuta huku wategemezi lukuki hela lazma uone ndogo maana company yako unakuta wanakunja 4m au zaidi
 
Mkuu inaonekana unakula mpunga mrefu
Mkuu naongelea uzoefu tu hata slip yangu haifikii hapo mzee ila ishu ni kwamba kwa TRA watu wana mashindano sana mle, kuna wapiga dili wakubwa na mahawara wao wanaishi lavish lifestyle ndio wanaofanya madogo wakiingia waanze wizi sababu nao wanatamani waweze kumiliki vitu vizuri!

You can never afford that kwa 2.1M lazma uone ndogo.
 
Kweli mkuu, hujakosea
 
Back
Top Bottom