Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

Mimi ni mgalatia ila kuna ka ukweli kwenye uliyoyasema uongozi wa wagalatia huwa wa kisenge sana.
Hata mimi ni mgalatia mwenzio ila kiukweli Hawa mabwana huwa wanaleta ligi zisizo na maana badala ya ku focus kwenye welfare ya watu..

Nilipata Kazi sekta binafsi 2015 wakati JK anaondoka,ndani ya mwaka ile kampuni ilifungasha vilago tukawa laid off tukapoteana kuanza upya..

Since then maisha yalikuwa ya unga unga, kwenye sekta ya ujenzi niliko mwaka wa kwanza tuu wa Samia Ali dabo tenda za ujenzi kiasi kwamba saizi Kazi zinawatafuta vijana wa civil tofauti na hapo awali.

Wakandarasi wanapata Kazi na hawagombei Sana kama awali.
 
Pesa ni ndogo ukiwa nayo mkuu ila kama umesugua benchi miaka 4 upo ground zero full of stress unaunga unga hela za udalali elfu 10-20 tena kwa tabu sana usiongee hivyo mzee!

Trust me hela ndogo sana kama unaishi maisha makubwa tayari upo kwenye mfumo kimsingi hela haijawahi tosha. Utataka upange jumba la laki 4 uende bar kila weekend na kumiliki crown jini mafuta huku wategemezi lukuki hela lazma uone ndogo maana company yako unakuta wanakunja 4m au zaidi

Unachosema sikupingi mkuu na ndicho nilichomueleza cocastic hiko kitu kuwa anaiona nyingi kwa sababu yupo nje ya mchezo ila akiingia dimbani hizo rates ataziona za kawaida sana tena hazitatoshea kabisa.

Hela sjui ikoje kiongozi...!
 
Yeah!! Mzee ni kweli..

Kule unapiga kazi huku una enjoy!!

Fringes benefits za kufa mtu..[emoji12]
Ndio raha ya mzungu yani! Kazi ya beberu tamu sana yani sababu wao wana assume ni kama unafanya kazi kwao tu kule mamtoni!

Japo wabongo wenzetu wanatusalitigi wanagawana fungu juu kwa juu ila sio haba! Huwezi fanya kazi kwa mzungu halafu ukawa huna hela katikati ya mwezi😅
 
Back
Top Bottom