Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Junior wanakula posho nzuri tu huko naskiaKwamba TCRA, entry point mtu anaanza na 4.5m? Au hii ni kwa wale miaka mingi kazini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Junior wanakula posho nzuri tu huko naskiaKwamba TCRA, entry point mtu anaanza na 4.5m? Au hii ni kwa wale miaka mingi kazini?
Hata mimi ni mgalatia mwenzio ila kiukweli Hawa mabwana huwa wanaleta ligi zisizo na maana badala ya ku focus kwenye welfare ya watu..Mimi ni mgalatia ila kuna ka ukweli kwenye uliyoyasema uongozi wa wagalatia huwa wa kisenge sana.
Yeah!! Mzee ni kweli..Eeh kazi unapiga chief ila imagine mapumziko unalipwa! Ofisi gani ya mbongo utalipwa vacation?
Dah nimeona mkali wade sema nafeli sasa kile cheti sijakipata arifu!Yeah nimeuona wanataka drivers 45 mzee baba...!
Fumua mshono aisee.
Pesa ni ndogo ukiwa nayo mkuu ila kama umesugua benchi miaka 4 upo ground zero full of stress unaunga unga hela za udalali elfu 10-20 tena kwa tabu sana usiongee hivyo mzee!
Trust me hela ndogo sana kama unaishi maisha makubwa tayari upo kwenye mfumo kimsingi hela haijawahi tosha. Utataka upange jumba la laki 4 uende bar kila weekend na kumiliki crown jini mafuta huku wategemezi lukuki hela lazma uone ndogo maana company yako unakuta wanakunja 4m au zaidi
Ndio raha ya mzungu yani! Kazi ya beberu tamu sana yani sababu wao wana assume ni kama unafanya kazi kwao tu kule mamtoni!Yeah!! Mzee ni kweli..
Kule unapiga kazi huku una enjoy!!
Fringes benefits za kufa mtu..[emoji12]
Wazi yani sema ngoja tupambane this time around huenda tukafanikiwa.Unachosema sikupingi mkuu na ndicho nilichomueleza cocastic hiko kitu kuwa anaiona nyingi kwa sababu yupo nje ya mchezo ila akiingia dimbani hizo rates ataziona za kawaida sana tena hazitatoshea kabisa.
Hela sjui ikoje kiongozi...!
EWURA, TPDC, TCRA, BOT hao walau wana mizigo ya kueleweka.
Hao nao wamo kwenye huo mkumbo wa posho mlima😅TBS vipi kiongozi...?
Dah nimeona mkali wade sema nafeli sasa kile cheti sijakipata arifu!
Ewura viti vishajazwa nyie tulieni huko ndio kuna maziwa na asali😅Rais Samia EWURA wamekalia mkeka Tangu mwaka 2021 hadi leo vijana wako mitaani na interview vijana hawaitwi kisingizio wanamzingiza January makamba kakataa wasiitwe.
Nilicheki nae mtu wa kuniunganisha ndio anazingua aokoti simuOoooh owkay jamaa yako anasemaje au hukucheki nae tena mkuu...?
Wazi yani sema ngoja tupambane this time around huenda tukafanikiwa.
Hao nao wamo kwenye huo mkumbo wa posho mlima😅
Jiandaeni kubambikiwa makodi huko gari za 2009 kushuka chini hazitakiwi tena🤣🤣🤣Mwaka mmoja watakuwa wanajua njia zote za panya ngoja uone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan kule ukipata umetoboa maisha.Kule posho mlima na benefits kila mahali[emoji28] sema kupata sasa ndio ishu
Nilicheki nae mtu wa kuniunganisha ndio anazingua aokoti simu
Ukiishi maisha yako halisi sio ulioyakuta pale ofisini hela itakutosha ila ukitaka kuishi maisha ya uliowakuta pale hela haitakaa itoshe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]baada ya miez sita utaona ndogooo mkuuu
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Ratiba za bata zitaanza hapo ngoja na viwanja dailyUkiishi maisha yako halisi sio ulioyakuta pale ofisini hela itakutosha ila ukitaka kuishi maisha ya uliowakuta pale hela haitakaa itoshe
😂😂😂😂😂😂 wasio lewa wataanza kwenda kidimbwiRatiba za bata zitaanza hapo ngoja na viwanja daily