Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Daaaaahhh πŸ’” inanisikitisha sana!
 
Ccm oyee mama samia oyeee πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ mama anaupiga mwingi sanaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Mbona mi naipata bila hata VPN?
Inaonyesha IT wa serikali hawako competent ukilinganisha na hawa wa JF.
 
Kimsingi sisi wapenda forums za biashara, ujenzi n.k tumeumizwa kisa wanasiasa hawa. JF tulipata madini mengi nje na siasa
 
Abdul yuko hadi TCRA?

Halafu Mama mwenyewe alishasema huwa anasoma JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…