Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

TCRA no wanafiki wakubwa, watu walitukana kukufuru kifo cha JPM na hayo matusi yapo humu hadi leo, mbona hawakuchukua hatua!? Watuachie jf yetu maana mdio sehemu pekee inatusaidia kuondoa stress
 
Tahilatahila, choicevariable, mwasha kawa mbwa na machawa wengine watakuwa wamefurahi sana
 
hii ni adhabu kwa wachapisha taarifa...

vipi siku wakimtia mikononi ndugu polepole?(mtoa taarifa)

na bet watachukua shoka wamkate shingo...
 
Yaani wawe wanasoma wanavopigwa spana na washindwe kujibu🀣🀣🀣 atakimbilia kwa mashekhe watusomee dua tupofuke πŸ˜‚
 
hii ni adhabu kwa wachapisha taarifa...

vipi siku wakimtia mikononi ndugu polepole?(mtoa taarifa)

na bet watachukua shoka wamkate shingo...
 
hii ni adhabu kwa wachapisha taarifa...

vipi siku wakimtia mikononi ndugu polepole?(mtoa taarifa)

na bet watachukua shoka wamkate shingo...
 
Natafakari hapa... Je wale machawa wa humu je wamefurahi au wamechukia kwa taarifa hii? Akina choicevariable, tiatiaah, chiembe na genge lao
 
Lucas Mwashambwa na mjomba wako Titia tafuteni kazi nyingine uchawa wenu umeishia hapa.
 
TCRA no wanafiki wakubwa, watu walitukana kukufuru kifo cha JPM na hayo matusi yapo humu hadi leo, mbona hawakuchukua hatua!? Watuachie jf yetu maana mdio sehemu pekee inatusaidia kuondoa stress
Tafasiri yake hawakumpenda Nduli John Magufuli wa chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…