Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Ka nchi ka hovyo kabisa
 

Attachments

  • downloadfile.png
    299.7 KB · Views: 23
Max piga ya kichwa hao bado wanapumua, hapa ndio wameipa umaarufu zaidi Jamii forum
 
Ukisikia paah jua unaendelea kupumua
 
Sasa sijui Lucas atabubujikia wapi machozi? Hahaaaaaaaa! Muda mwingi yupo humu anabubujika kwa mahaba kwa Dakta,mama,chief mitano tena!
Wanamwonea.
 
TCRA na Serikali ya CCM mtakuja kuzihitaji Social media na majukwaa kama JamiiForum, siku ambayo Majeshi ya nchi hii yatapewa amri kupitia mitandao.

Na hili likitokea hamtakuwa na anayewasikiliza, na itakuwa too late


NA JAMBO HILI LITATOKEA KWA HAKIKA, WANAOWEZA KUMFIKISHIA TAARIFA MKUU WA MAJESHI, SAMIA, KIKWETE WATIMIZE WAJIBU WAO
 
Lakini vile vile unahoji na hasa nidhamu ya huu mama kukumbatiana kivile na lile jamaa! Hata kiafrika tu hayo ni mambo ya Generation Z
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…