ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Siwezi pasuka labda nyie ambao mnapata maisha via jf ndio mtapasukaNa utashangaa na kesho na siku zote mpaka upasuke...!!
Ungekuwa unajua kuwa niko hapo nyuma yako na ofisi zetu zinatazamana, ungecheka sana na kutoamini...Siwezi pasuka labda nyie ambao mnapata maisha via jf ndio mtapasuka
Kule ngumu. Wameshindwa Twitter (X) kule watawezaje?I saw it coming.
Next stop is Instagram.
Officially an orangutan republic.
Sijui ntakuonaje tena na nimeshakuzoea masikini ya MUNGU.Upo mwezini halafu pesa ya pedi huna πΉπΉ
Kwani huo uchafu wanaohangaika kudhiti nani kufanya?Hii inadhibitisha uchafu wa WANAMTANDAO ni KWELI.
Mjomba jamani umesahau nilinunua ABAYA ππππMjomba kwani Ile hela niliyokutumia juzi imeisha ishaje π₯Ήπ
Mtashindwa ku strike Hadi 2030 maana Toka 2021 mnamlia timing tu ππUngekuwa unajua kuwa niko hapo nyuma yako na ofisi zetu zinatazamana, ungecheka sana na kutoamini...
Unadhani wote tulio kwenye msafara wa mgombea wa CCM tunamuunga mkono...?
Never, ever....!
Tunamlia timing tu before we strike...
Crdb inazingua subir mpaka j3 mjomba angu πMjomba jamani umesahau nilinunua ABAYA ππππ
πΉπΉπΉ PoleSijui ntakuonaje tena na nimeshakuzoea masikini ya MUNGU.
Most likely haitapatikana kuanzia saa 6 usikuKimefungiwa kitu gani mbona bado JF iko hewani? Hahaha unajua mambo buana. Ila JF ni kubwa kuliko mtu
Mkuu hauna akiliMtashindwa ku strike Hadi 2030 maana Toka 2021 mnamlia timing tu ππ
Mwisho ingekuwa kazi unafanya wewe,order unatoa wewe ndio ungefanya hayo vinginevyo njaa zako zitafanya uishie Kuandika jf na hakuna kitu utafanya.
Rais sio mama au baba Yako utamlinda Kwa lazima Kwa mujibu wa sheria na kiapo.
Now ishakaa sawa mpe mjomba Chochote kitu ππCrdb inazingua subir mpaka j3 mjomba angu π
Mwanangu wa kigamboni hii vita ni kubwa nilikuwa nishapata pakujifichia ila we unataka unitoe πππNow ishakaa sawa mpe mjomba Chochote kitu ππ