DOKEZO Mamlaka zinasubiri nini kufanya uchunguzi wa tuhuma za Ushoga pale WCB?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nilishaleta Uzi miaka 2 imepita.
Nilisema kuwa ili uwe maarufu kwenye usanii wowote lazima umsujudu Ibilisi kwa kuwa na matendo ya ushoga
Wafanye ushoga Wao huko wasituletee kwenye jamiii yetu na kizazj chetu
 
Hatari sana
 
Wenzenu hapo Kenya waandamana juu ya serikali yao ya kidhalimu, nyie mnaongelea makalio ya watu, umeme unakatwa katwa hovyo, hapa ninavyoandika wamekata tangu saa mbili usiku, ishu za msingi za kuishinikiza serikali tunakua kimya ila likija suala la kunusa makalio ya watu mnatanua pua kama nguruwe pori
 
tofautisha haiba ya kike na haiba ya kishoga
 
Unakubaliana na ushoga sio kwa sababu unasagana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…