Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Kwa hiyo unataka kusema jirani yako aone unampiga mtoto kiasi cha kumuuaHakuna sehemu ambayo nimesema kua nashabikia utekaji au mauaji,wala hakuna mtu ambaye ni timamu anayeweza kushabikia mambo hayo,
Point yangu ni kwamba,hakuna nchi ambayo hua inapenda kuingiliwa kwenye internal affairs zake,hilo ni jambo la kawaida kidiplomasia wala sio jambo jipya.
Mbona unakua na akili nzito kiasi hicho? Huyo jirani yangu kama ni muuaji,anapata wapi authority ya kujifanya ana huruma?Kwa hiyo unataka kusema jirani yako aone unampiga mtoto kiasi cha kumuua
akikukosoa umwambie asiingilie familia yako. Can you think critically.?
Migawanyoko?Ukweli gani nyie mnatumika? Aliwapa nafasi ya kufanya siasa za kustaarabu mkaanza Kuhubiri chuki,migawanyoko,kutukana na Sasa mumeona haitoshi eti mnataka mumtoe madarakani Kwa maandamano,thubutu.
Ukimya wa Rais sio ujinga au udhaifu ,watch out.
Kwa hiyo kama wanauawa huko Gaza, ni halali hata sisi watanzania tutekwe na kuuawa?Mbona unakua na akili nzito kiasi hicho? Huyo jirani yangu kama ni muuaji,anapata wapi authority ya kujifanya ana huruma?
Silaha za Westeners ndio zinazoua wanawake na watoto huko Gaza na kwingineko,hiyo huruma yao inatoka wapi kama sio unafiki?
Hata sihitajiNinajua wewe huna uwezo wa kujadiliana na mimi.
Tatizo udini umekujaa Gaza Gaza kwani hao Gaza hawashambulii IsraelMbona unakua na akili nzito kiasi hicho? Huyo jirani yangu kama ni muuaji,anapata wapi authority ya kujifanya ana huruma?
Silaha za Westeners ndio zinazoua wanawake na watoto huko Gaza na kwingineko,hiyo huruma yao inatoka wapi kama sio unafiki?
Mkuu umesahau kusema... 'Mambo ya Serikali ndiyo yalivyo'. Ongezea hapo
Ndiyo maana wengine huwa wanachapia badala ya kutamka serikali wasema siri kaliMkuu umesahau kusema... 'Mambo ya Serikali ndiyo yalivyo'. Ongezea hapo
Wewe ni mpumbavu,ni wapi nimeongelea dini? Kwa vile wewe umewaza udini ndio unafikiri ndio wote? Wewe akili ndogo usirudie tena kuquote comment zangu,huna akili ya ufahamu.Tatizo udini umekujaa Gaza Gaza kwani hao Gaza hawashambulii Israel
Mimi nazungumzia Tanzania na balozi za nje wewe una ongelea
habari za Gaza.
Hivi watu kama wewe wenye akili nzito kiasi hicho,hua mnaendeshaje familia zenu? Mimi naongelea mtu aliyejaa damu mikononi mwake kwa kuua wanawake na watoto kisha anajifanya kukemea mauaji ya sehemu nyingine,hapa tunajadili mada ya kuingilia internal affairs ya nchi zingine,kwa mauaji yanayofanywa na silaha za US basi ni aibu kwake eti kukemea mauaji sehemu zingine,ni unafiki.Kwa hiyo kama wanauawa huko Gaza, ni halali hata sisi watanzania tutekwe na kuuawa?
Mimi nimesoma Social Psychology naweza kuona pale ulipoishia weweWewe ni mpumbavu,ni wapi nimeongelea dini? Kwa vile wewe umewaza udini ndio unafikiri ndio wote? Wewe akili ndogo usirudie tena kuquote comment zangu,huna akili ya ufahamu.
Huna akili wewe,labda uwe umesomea ujinga tu.Mimi nimesoma Social Psychology naweza kuona pale ulipoishia wewe
Kwa hiyo huo ni ukweli mchungu nimekuambia ukita usitake.
Wahi Gaza kawasaidie ndugu zako 🤣😂😂Huna akili wewe,labda uwe umesomea ujinga tu.