Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Kwa hiyo unataka kusema jirani yako aone unampiga mtoto kiasi cha kumuuaHakuna sehemu ambayo nimesema kua nashabikia utekaji au mauaji,wala hakuna mtu ambaye ni timamu anayeweza kushabikia mambo hayo,
Point yangu ni kwamba,hakuna nchi ambayo hua inapenda kuingiliwa kwenye internal affairs zake,hilo ni jambo la kawaida kidiplomasia wala sio jambo jipya.
akikukosoa umwambie asiingilie familia yako. Can you think critically.?