Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

Hakuna sehemu ambayo nimesema kua nashabikia utekaji au mauaji,wala hakuna mtu ambaye ni timamu anayeweza kushabikia mambo hayo,

Point yangu ni kwamba,hakuna nchi ambayo hua inapenda kuingiliwa kwenye internal affairs zake,hilo ni jambo la kawaida kidiplomasia wala sio jambo jipya.
Kwa hiyo unataka kusema jirani yako aone unampiga mtoto kiasi cha kumuua

akikukosoa umwambie asiingilie familia yako. Can you think critically.?
 
Jumuiya ya kimataifa sasa kwa ukaribu na umakini wataongeza umakini kuangalia mwenendo wa kiutawala chini ya chama dola kongwe CCM, Kisha wakubwa hawa kuanza kuishughulikia kidiplomasia, kiuchumi na kivukwazo utawala huu gandamizi wa awamu ya 6.
 
Kwa hiyo unataka kusema jirani yako aone unampiga mtoto kiasi cha kumuua

akikukosoa umwambie asiingilie familia yako. Can you think critically.?
Mbona unakua na akili nzito kiasi hicho? Huyo jirani yangu kama ni muuaji,anapata wapi authority ya kujifanya ana huruma?

Silaha za Westeners ndio zinazoua wanawake na watoto huko Gaza na kwingineko,hiyo huruma yao inatoka wapi kama sio unafiki?
 
Ukweli gani nyie mnatumika? Aliwapa nafasi ya kufanya siasa za kustaarabu mkaanza Kuhubiri chuki,migawanyoko,kutukana na Sasa mumeona haitoshi eti mnataka mumtoe madarakani Kwa maandamano,thubutu.

Ukimya wa Rais sio ujinga au udhaifu ,watch out.
Migawanyoko?

Kweli we nyoko,
 
Mbona unakua na akili nzito kiasi hicho? Huyo jirani yangu kama ni muuaji,anapata wapi authority ya kujifanya ana huruma?

Silaha za Westeners ndio zinazoua wanawake na watoto huko Gaza na kwingineko,hiyo huruma yao inatoka wapi kama sio unafiki?
Kwa hiyo kama wanauawa huko Gaza, ni halali hata sisi watanzania tutekwe na kuuawa?
 
Tatizo udini umekujaa Gaza Gaza kwani hao Gaza hawashambulii Israel

Mimi nazungumzia Tanzania na balozi za nje wewe una ongelea
habari za Gaza.
 
Ila kuna aibu kubwa kuwa eti Rais mwanamke wa kwanza kwenye nchi anatambulika kama mkatili katika nchi kuwazidi watangulizi wake?
Mbona washauri mnampoteza kwa tamaa zenu? Mnampenda gani namna hiyo? Mnampa mpaka clip za fix kumlaghai naye anaingia king? Au kwa vile mwanamke?
 
Na hata kama ni muuaji bado haikupi uhalali wa

wewe kuua, It is a logical fallacy.
 
Tatizo udini umekujaa Gaza Gaza kwani hao Gaza hawashambulii Israel

Mimi nazungumzia Tanzania na balozi za nje wewe una ongelea
habari za Gaza.
Wewe ni mpumbavu,ni wapi nimeongelea dini? Kwa vile wewe umewaza udini ndio unafikiri ndio wote? Wewe akili ndogo usirudie tena kuquote comment zangu,huna akili ya ufahamu.
 
Kwa hiyo kama wanauawa huko Gaza, ni halali hata sisi watanzania tutekwe na kuuawa?
Hivi watu kama wewe wenye akili nzito kiasi hicho,hua mnaendeshaje familia zenu? Mimi naongelea mtu aliyejaa damu mikononi mwake kwa kuua wanawake na watoto kisha anajifanya kukemea mauaji ya sehemu nyingine,hapa tunajadili mada ya kuingilia internal affairs ya nchi zingine,kwa mauaji yanayofanywa na silaha za US basi ni aibu kwake eti kukemea mauaji sehemu zingine,ni unafiki.
 
Wewe ni mpumbavu,ni wapi nimeongelea dini? Kwa vile wewe umewaza udini ndio unafikiri ndio wote? Wewe akili ndogo usirudie tena kuquote comment zangu,huna akili ya ufahamu.
Mimi nimesoma Social Psychology naweza kuona pale ulipoishia wewe

Kwa hiyo huo ni ukweli mchungu nimekuambia ukitaka usitake.
 
Nyerere alikuwa ananishana na Mabeberu kwa kuwa ana back up ya USSR na China Ila baadae ali-surrender,ikambidi aachie ngazi

Marais wote waliofuatia wakaacha kabisa kupandisha mabega kwa hao Mabwana mpaka pale alipokuja JIWE,hali ikabadilika kabisa akajiona anaweza akawabishia na wasimfanye chochote ila mwisho wa siku ukweli anaujua mwenyewe

Sasa kabaki huyu Mama nina wasiwasi na mwisho wake

Mungu ibariki Tanganyika
 
Back
Top Bottom