Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Powerful speech, wakati wewe nchi yako ni maskini ombaomba kutwa kucha kulia lia kuomba misaada ya haohao anaojifanya kuwakoromea..!!Yes,
ile Ilikua ni hotuba kwa dunia nzima.
It was very powerful speech by head of state to the international community and entire world 🐒
Unafurahia Mjeda wetu kuuwawa mtafute Nduli akusimulie.....😆😆😆😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣
Tanzania hakuna umasikini gentleman, ni hiyo dhana tu ambayo nawe imekuzonga. But kua maskini wa fikra au mali Tanzania ni uamuzi wako ..Powerful speech, wakati wewe nchi yako ni maskini ombaomba kutwa kucha kulia lia kuomba misaada ya haohao anaojifanya kuwakoromea..!!
Kuna mahali wakiminya mtabaki kulia lia njaa tu.
Hallucination!Umeambiwa Chunguza kwa nini kuna kadhia badala yake unashambulia wanaokushauri uchunguze?
Hii bado sijaielewa vizuri imekaaje
Kwa hiyo na wewe kajamba nani unataka ujilinganishe na USA?Una wazimu sugu wewe.Wao enyewe USA wamewatesa sana raia wao waliokuwa wanaipinga Isreal. Mbona tulikaa kimya?
Wewe ni kichwa maji kabisa.Tanzania hakuna umasikini gentleman, ni hiyo dhana tu ambayo nawe imekuzonga. But kua maskini wa fikra au mali Tanzania ni uamuzi wako ..
kuna fursa za kila aina kujikwamua katika hali hiyo gentleman ..
na ndio maana kama Taifa, kupitia Rais wetu kipenzi cha wananchi wote Tanzania Dr.Samia Suluhu Hassan,
amavionya vyama vya siasa, taasisi za kiraia na watu binafsi, wanaokusudia kuhatarisha, kuharibu au kuvuruga Umoja, amani na utulivu wa waTanzani kwamba hatavumilia kuwachukulia hatua kali sana na kuwadhubiti kwa gharama yoyote ile...
na zaidi yoyote,
ameyaonya mataifa yote yenye uwakilishi humu nchi, kuzingatia sheria za Kimataifa na mkataba wa ustaarabu wa kidiplomasia na sio kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu au kuelekeza namna ya kushughulika na masuala ya ndani ya nchi yetu 🐒
kama Taifa hatuishi kwa misaada na wala hatuna haja ya msaada wowote kwa Lazima au hiyari ya yeyote....
Hakuna kitu wewe Wacha kujilisha upepoNgoja akina BBC, DW, CNN, FOX news, VOA wafanye yao
Jikite kwenye hojaWewe ni kichwa maji kabisa.
Eti hatuna haja ya misaada, Wakati hata SGR yenyewe imejengwa kwa mikopo na misaada.
Halafu wapumbavu machawa kama wewe unasema hatuishi kwa misaada...!!
Damn fool..
Huko kichwani mwako kumejaa matope..
🤣🤣 kwahiyo sasa wewe kichwa matope, mkopo ni msaada? dah🤣Wewe ni kichwa maji kabisa.
Eti hatuna haja ya misaada, Wakati hata SGR yenyewe imejengwa kwa mikopo na misaada.
Halafu wapumbavu machawa kama wewe unasema hatuishi kwa misaada...!!
Damn fool..
Huko kichwani mwako kumejaa matope..
Hatutishwi na vibaraka Wala beberu wao.Huko Lebanon pages na Radio call zimelipotiwa kulipuka. Hao wanaovimbiwa ndio watengenezaji wa ndefu anazotumia Raisi wetu. Sasa yeye aendee tu kuwavimbia wakati sisi hata kutengeneza vitu vyetu wenyewe vya mawasiliano bado…
Kama anajipenda, awanyamazie tu, hawa mane Eri wana Njina Nyingi sana na wanapenda Sana show za kulipa visasi…watajua cha kufanya tu wakiudhika…
Chawa wewe hata ukiambiwa ulambe anus ya kiongozi utalamba.🤣🤣 kwahiyo sasa kichwa matope, mkopo ni msaada? dah🤣
punguza mihemko na makasiriko bas kwenye mambo ya msingi kamanda 🐒
na kwakweli hatutishiki wala kutikisika 🐒Hatutishwi
gentleman relax bana ukweli ndivyo ulivyo..Chawa wewe hata ukiambiwa ulambe anus ya kiongozi utalamba.
Kutwa kucha kusifia upumbavu.
Kichwani mwake kumejaa uroda wa nyege.Huko kichwani mwako kumejaa matope..