Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Hujibu ulicho ulizwa Unajibu usivyo ulizwa.huenda una njaa sana ndio maana iko tabu kidogo kwenye ufahamu na uelewa kwenye jambo hili muhimu kwa maslahi mapana ya Taifa π
Siongelei power bali fedheha, kuwa rais hauondoi uke wake.Rais awe mwanamke ama mwanaume nguvu yake ni "presidential decree"...
Trump alituambia kuwa sisi ni "shitholes" sijui kaathirika nini ?!!Siongelei power bali fedheha
Kumbukeni rais ni mwanamke,labda wakati anatoa iyo hotuba maybe alikuwa kwenye hali isiyo ya kawaidaAliongea kwa kupanic sana huyo mama, anawavimbia wakati kila leo anapita na bakuli lake kuomba omba huko kwao
Uwe na adabu....Kumbukeni rais ni mwanamke,labda wakati anatoa iyo hotuba maybe alikuwa kwenye hali isiyo ya kawaida
unauliza hicho hicho kwa namna tofauti tofauti. nakujibu lakini inaonekana una shida kidogo katika uwezo wa kutosha, kuelewa mambo haya mazito. ntajitahidi mara chache chache kukuwezesha kuelewa kwa lugha nyingine na bilashaka utaelewa tu...Hujibu ulicho ulizwa Unajibu usivyo ulizwa.
Aliyekwambia nina njaa ni nani?
Wewe ndio mwenye njaa, Wewe ni chawa kutwa kucha kujipendekeza na kusifia viongozi wako wajinga angalau wakupe chochote kitu, ili uweze kuishi.
Na viongozi wenu ndio njaa kali kila mara kwenda kwa wazungu kulia lia shida kutaka mikopo na misaada.
Kichwa kinawaza mambo ya ajabu mbwa wewe π π π π
Kichwa kinawaza mambo ya ajabu mbwa wewe π π π π
Tanzania ni nchi huruAkaombe misaada Urusi, huyu mama ni katili haswa
Kwenda kagange njaa, upewe posho.unauliza hicho hicho kwa namna tofauti tofauti. nakujibu lakini inaonekana una shida kidogo katika uwezo wa kutosha, kuelewa mambo haya mazito. ntajitahidi mara chache chache kukuwezesha kuelewa kwa lugha nyingine na bilashaka utaelewa tu...
hilo lingine la kuandaa majibu yako mfukoni, ati utegemee kufananisha na yangu, kwenye siasa hiyo haipo π
Huna akili,kwani nimetukana chizi wewe,Uwe na adabu....
Wewe hujazaliwa na mama ?!!
Hujaongea kishabiki ila umeongea pumba.Ni sawa na Mama una mtoto mgongoni unapishana na mlevi anakwambia mtoto anaanguka unaanza kumshambulia "nyamaza we mlevi" kwa mini usishughulikie kwanza usalama wa huyo mtoto ndio nawe umnange Mlevi kwa ulevi wake?.au Kuwa Muwazi tu Kuwa uliyembeba ni Mtoto wa kambo na unajua unachokifanya.Acha kua na fikra za kitumwa wewe,hakuna nchi ambayo hua inataka kuingiliwa kwenye internal affairs zake.
Hao US si ndio wanatoa silaha zinazoua Wanawake na watoto huko Gaza? kwanini wasijirekebishe wao kwanza?
Sijaongea kwa ushabiki wa kisiasa coz mimi hua sibishani mambo ya kisiasa hapa bali nimeongelea uhalisia.
pole pole gentleman,Kwenda kagange njaa, upewe posho.
Hana Cha kupoteza UMRI wake mkubwa na amesha watengenezea watoto wake pesa za kula kwa maisha yao yoteAmeota mapembe
Peleka uchawa huko.pole pole gentleman,
wakati mwingine ukiwa tayari kuelewa na kuongeza ufahamu wa kutosha juu ya masuala haya, basi nitakua tayari kukusaidia π
relax bas kijana,Peleka uchawa huko.
Kajadiliane na machawa wenzako namna ya kuendelea kusifia viongozi wenu wapumbavu.
Wewe ndio huna hata akili hata za kuvukia Barabara tu,Hujaongea kishabiki ila umeongea pumba.Ni sawa na Mama una mtoto mgongoni unapishana na mlevi anakwambia mtoto anaanguka unaanza kumshambulia "nyamaza we mlevi" kwa mini usishughulikie kwanza usalama wa huyo mtoto ndio nawe umnange Mlevi kwa ulevi wake?.au Kuwa Muwazi tu Kuwa uliyembeba ni Mtoto wa kambo na unajua unachokifanya.
Huna akili ya kuelewa mfano niliotoa hivyo Hata sishangai kurudi na ujinga ule ule kama awali. Mtoto mgongoni anahitaji msaada achana na hayo ya kuingiliwa kwanza, na tunatofautishaje kuingiliwa na kuulizwa/kushauriwa? Kikubwa ni je kweli Mtoto anaanguka? Au ni mpaka yule anayeruhusiwa kukuingilia atakapokuuliza ndio utageuka kurekebisha kanga iliyomfunga mtoto mgongoni?Wewe ndio huna hata akili hata za kuvukia Barabara tu,
Mfano wako ni wa kipumbavu sana,
Ungesoma comment yangu na kuielewa usingekuja kutapika haya matapishi yako,
Nilisema hakuna taifa linalotaka kuingiliwa internal affairs zake na mataifa ya nje,hao US silaha zao ndio zinaua wanawake na watoto kule Gaza,hivi wauaji wa halaiki wanapata wapi authority ya kushauri wengine? US wanafunzi waliandamana kupinga mauaji ya Gaza,wakapigwa na Polisi na wengine kukamatwa,halafu hao ndio wawashauri wengine kua waheshimu watu wanapoandamana?
Before you start pointing fingers,make sure your hands are clean,
Au na wewe umecomment tu ili usisahaulike kua umo humu JF?