Maneno ya Rais Samia Yanibubujisha Machozi Ya Furaha Mpaka Kuvimba Macho Utafikiri nimeng'atwa na Nyuki waliochokozwa katika Mzinga wao

Kwani wewe ndiye uliwateua? Ulitaka wakae muda gani ndio watenguliwe? Kwani walipoteuliwa unajua ni kigezo kipi kiliwabeba na kipi kinakuwa kimewafanya wabadilishwe?
 
So KUTEKWA watu na mihela ya nchi kuliwa nao ni unafki??? IQ yetu watz ni ndogo saaana. Anyways, jina lenyewe Mwashambwa....mnyia sijui wa Mbozi huko🤮🤮🤮🤮💩
Acha habari za ukabila hapa. Jikite katika hoja tu ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa Mawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…