Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #61
Ungekwenda kujadiliana na GWAJIMA Mwenyewe huko.Jibu swali .
Maana Gwajima katika hoja zake aliwataja hao watu kwanini hamtoi majibu?

Kama watu wanatekwa na wanaotakiwa kuwalinda hawasemi chochote unapata ujumbe gani we kunguni?Ungekwenda kujadiliana na GWAJIMA Mwenyewe huko.
Huyu mhuni CH hana akili yoyote ni lijinga tu ila nashangaa humu kwa wanaojiita great thinkers hawajui hiliClubhouse imevamiwa hadi na kunguni kama huyu.
Uchawa wake humu umefeli kwa sasa 90% miaka 2 ya mwanzo alijitahidi kuweka kile kinamba chake cha simu alipopuuzwa ameacha.
Mbona wewe hujatekwa kama kweli watu wanatekwa.Kama watu wanatekwa na wanaotakiwa kuwalinda hawasemi chochote unapata ujumbe gani we kunguni?
Nimekusamehe bure kabisaHili jamaa kama punga
Kwahiyo hao waliotekwa hujaona hadi mimi nikitekwa ndio uamini utekaji upo?Mbona wewe hujatekwa kama kweli watu wanatekwa.
Mdude ndio nani.Kwahiyo hao waliotekwa hujaona hadi mimi nikitekwa ndio uamini utekaji upo?
Unaweza kuniambia Mdude hadi leo siku ya 28 yupo wapi?
Soka hadi leo miezi 9 yuko wapi?
Ndio maana mmeshindwa kujibu mmeungana kupiga mipasho na mama yenu.
Mpuuzi mkubwa wewe.
Nimebubujikwa na machozi ya furaha kwa kunisameheNimekusamehe bure kabisa
Chakula pendwa cha Lucas Mwashambwa hiki.
Huyu mwamba kwa wajinga wajinga wasio na taarifa na kuhoji kwa mantiki. Atawaonea sanaChakula pendwa cha Lucas Mwashambwa hiki.
Mimi siyo comedian😀😀😀😀😀😀😀😀 hakika Kuna mda unakuwa kama comedian
Hongera mzalendo mwenzangu, Samia ni akili kubwa sana tumshukuru Mungu kwa kuipendelea nchi yetu, Samia ni zawadi baada ya siku chache nitaandika kwanini ni zawadi ya kipekee. Mungu anaipenda nchi yetu tumshukuru Mungu. Kazi alizofanya ndani ya muda mfupi na anaajiri kwa nguvu ya ajabu, Samia ni mojawapo ya maajabu makubwa. Hakuna kima atamkwamisha.Ndugu zangu Watanzania,
Maneno yana nguvu,maneno yanaleta hamasa,maneno yana leta ushindi ,maneno yana ponya ,maneno yanaweza fanya Mtu akaingia uwanja wa vita bila silaha mkononi kupambana na mwenye silaha ya kivita na akashinda vita bila silaha, maneno yanaleta amani ya moyo ,maneno yanaleta matumaini,maneno yanatia nguvu ,maneno yanaleta na kuwajaza watu ujasiri ,maneno yana Uwezo wa Kuleta mabadiliko na mageuzi ya kifikira.
Kwa hakika maneno yaliyotoka kwenye kinywa cha Rais wetu na Mama yetu kipenzi na Mwenyekiti wa chama changu cha Mapinduzi,kwa hakika yamenibubujisha Machozi ya furaha mpaka kupelekea kuvimba macho Utafikiri nimeng'atwa au kuumwa na nyuki waliochokozwa katika mzinga wao.
Ni maneno ya kijasiri ,ni maneno ya kiuongozi ,ni maneno ambayo yametulipua kwa furaha wana CCM wote na wale wote wenye kuipenda Nchi hii na kuiamini CCM kama chama pekee chenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu na kuliletea maendeleo endelevu na yenye kugusa Maisha ya watu.
Ni maneno ambayo kila mwana CCM alitamani kuyasikia yakitoka katika kinywa cha Rais wetu na mwenyekiti wetu. ili kuleta na kujenga heshima na nidhamu ya chama chetu. Ni maneno ambayo yametukumbusha kuwa CCM ni kubwa kuliko mtu yeyote yule na hakuna aliye juu ya CCM wala mwenye uwezo wa kuipasua CCM.
Ni maneno ambayo yameonesha kuwa huwezi kuitikisa CCM wala kuiyumbisha wala kuigawa wala kuitunishia misuri na kuleta kiburi kwa CCM ukiwa ndani ya CCM.
Kwa hakika Rais Samia ni kiongozi na nusu na ni kiongozi sahihi kabisa kuiongoza CCM na Taifa letu kwa ujumla wake. Ni jasiri muongoza njia,ni nahodha Hodari,ni jemedari imara ,ni simba wa nyika ,ni nyota ya matumaini,ni Mwamba usiotikiswa.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa hakika Rais Samia ni zawadi kutoka kwa Mungu MwenyeweHongera mzalendo mwenzangu, Samia ni akili kubwa sana tumshukuru Mungu kwa kuipendelea nchi yetu, Samia ni zawadi baada ya siku chache nitaandika kwanini ni zawadi ya kipekee. Mungu anaipenda nchi yetu tumshukuru Mungu. Kazi alizofanya ndani ya muda mfupi na anaajiri kwa nguvu ya ajabu, Samia ni mojawapo ya maajabu makubwa. Hakuna kima atamkwamisha.
NimekusameheIpo siku utabubujikwa na uharo .....
Shubaaaamit.
Dish kuyumba Lucas Mwashambwa! Mental health is real! Unabubujikwa machozi kwa ujinga!Ndugu zangu Watanzania,
Maneno yana nguvu,maneno yanaleta hamasa,maneno yana leta ushindi ,maneno yana ponya ,maneno yanaweza fanya Mtu akaingia uwanja wa vita bila silaha mkononi kupambana na mwenye silaha ya kivita na akashinda vita bila silaha, maneno yanaleta amani ya moyo ,maneno yanaleta matumaini,maneno yanatia nguvu ,maneno yanaleta na kuwajaza watu ujasiri ,maneno yana Uwezo wa Kuleta mabadiliko na mageuzi ya kifikira.
Kwa hakika maneno yaliyotoka kwenye kinywa cha Rais wetu na Mama yetu kipenzi na Mwenyekiti wa chama changu cha Mapinduzi,kwa hakika yamenibubujisha Machozi ya furaha mpaka kupelekea kuvimba macho Utafikiri nimeng'atwa au kuumwa na nyuki waliochokozwa katika mzinga wao.
Ni maneno ya kijasiri ,ni maneno ya kiuongozi ,ni maneno ambayo yametulipua kwa furaha wana CCM wote na wale wote wenye kuipenda Nchi hii na kuiamini CCM kama chama pekee chenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu na kuliletea maendeleo endelevu na yenye kugusa Maisha ya watu.
Ni maneno ambayo kila mwana CCM alitamani kuyasikia yakitoka katika kinywa cha Rais wetu na mwenyekiti wetu. ili kuleta na kujenga heshima na nidhamu ya chama chetu. Ni maneno ambayo yametukumbusha kuwa CCM ni kubwa kuliko mtu yeyote yule na hakuna aliye juu ya CCM wala mwenye uwezo wa kuipasua CCM.
Ni maneno ambayo yameonesha kuwa huwezi kuitikisa CCM wala kuiyumbisha wala kuigawa wala kuitunishia misuri na kuleta kiburi kwa CCM ukiwa ndani ya CCM.
Kwa hakika Rais Samia ni kiongozi na nusu na ni kiongozi sahihi kabisa kuiongoza CCM na Taifa letu kwa ujumla wake. Ni jasiri muongoza njia,ni nahodha Hodari,ni jemedari imara ,ni simba wa nyika ,ni nyota ya matumaini,ni Mwamba usiotikiswa.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sasa kwa tabia hizo si unasadifu unakotoka. Nchi inaliwa, wananchi wanaotekwa na kuuwawa nyie mnaona ni kawaida. Anyways, so kama mlikuwa mnachuna watu ngozi lazima muone udharimu huo ni kawaida.Acha habari za ukabila hapa. Jikite katika hoja tu ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa Mawazo