Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #81
Mimi ni mzima na siyo mgonjwa kama weweDish kuyumba Lucas Mwashambwa! Mental health is real! Unabubujikwa machozi kwa ujinga!

Leo kaupiga mwingi sana.ukweli na uwaziNdugu zangu Watanzania,
Maneno yana nguvu,maneno yanaleta hamasa,maneno yana leta ushindi ,maneno yana ponya ,maneno yanaweza fanya Mtu akaingia uwanja wa vita bila silaha mkononi kupambana na mwenye silaha ya kivita na akashinda vita bila silaha, maneno yanaleta amani ya moyo ,maneno yanaleta matumaini,maneno yanatia nguvu ,maneno yanaleta na kuwajaza watu ujasiri ,maneno yana Uwezo wa Kuleta mabadiliko na mageuzi ya kifikira.
Kwa hakika maneno yaliyotoka kwenye kinywa cha Rais wetu na Mama yetu kipenzi na Mwenyekiti wa chama changu cha Mapinduzi,kwa hakika yamenibubujisha Machozi ya furaha mpaka kupelekea kuvimba macho Utafikiri nimeng'atwa au kuumwa na nyuki waliochokozwa katika mzinga wao.
Ni maneno ya kijasiri ,ni maneno ya kiuongozi ,ni maneno ambayo yametulipua kwa furaha wana CCM wote na wale wote wenye kuipenda Nchi hii na kuiamini CCM kama chama pekee chenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu na kuliletea maendeleo endelevu na yenye kugusa Maisha ya watu.
Ni maneno ambayo kila mwana CCM alitamani kuyasikia yakitoka katika kinywa cha Rais wetu na mwenyekiti wetu. ili kuleta na kujenga heshima na nidhamu ya chama chetu. Ni maneno ambayo yametukumbusha kuwa CCM ni kubwa kuliko mtu yeyote yule na hakuna aliye juu ya CCM wala mwenye uwezo wa kuipasua CCM.
Ni maneno ambayo yameonesha kuwa huwezi kuitikisa CCM wala kuiyumbisha wala kuigawa wala kuitunishia misuri na kuleta kiburi kwa CCM ukiwa ndani ya CCM.
Kwa hakika Rais Samia ni kiongozi na nusu na ni kiongozi sahihi kabisa kuiongoza CCM na Taifa letu kwa ujumla wake. Ni jasiri muongoza njia,ni nahodha Hodari,ni jemedari imara ,ni simba wa nyika ,ni nyota ya matumaini,ni Mwamba usiotikiswa.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sasa shoga kama wewe unaelewa Nini? Jinga na shetani. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisaNdugu zangu Watanzania,

Nimekusamehe bure kabisa makosa yako yoteSasa shoga kama wewe unaelewa Nini? Jinga na shetani. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
Samahani mkuu kukuuliza.Ndugu zangu Watanzania,
Maneno yana nguvu,maneno yanaleta hamasa,maneno yana leta ushindi ,maneno yana ponya ,maneno yanaweza fanya Mtu akaingia uwanja wa vita bila silaha mkononi kupambana na mwenye silaha ya kivita na akashinda vita bila silaha, maneno yanaleta amani ya moyo ,maneno yanaleta matumaini,maneno yanatia nguvu ,maneno yanaleta na kuwajaza watu ujasiri ,maneno yana Uwezo wa Kuleta mabadiliko na mageuzi ya kifikira.
Kwa hakika maneno yaliyotoka kwenye kinywa cha Rais wetu na Mama yetu kipenzi na Mwenyekiti wa chama changu cha Mapinduzi,kwa hakika yamenibubujisha Machozi ya furaha mpaka kupelekea kuvimba macho Utafikiri nimeng'atwa au kuumwa na nyuki waliochokozwa katika mzinga wao.
Ni maneno ya kijasiri ,ni maneno ya kiuongozi ,ni maneno ambayo yametulipua kwa furaha wana CCM wote na wale wote wenye kuipenda Nchi hii na kuiamini CCM kama chama pekee chenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu na kuliletea maendeleo endelevu na yenye kugusa Maisha ya watu.
Ni maneno ambayo kila mwana CCM alitamani kuyasikia yakitoka katika kinywa cha Rais wetu na mwenyekiti wetu. ili kuleta na kujenga heshima na nidhamu ya chama chetu. Ni maneno ambayo yametukumbusha kuwa CCM ni kubwa kuliko mtu yeyote yule na hakuna aliye juu ya CCM wala mwenye uwezo wa kuipasua CCM.
Ni maneno ambayo yameonesha kuwa huwezi kuitikisa CCM wala kuiyumbisha wala kuigawa wala kuitunishia misuri na kuleta kiburi kwa CCM ukiwa ndani ya CCM.
Kwa hakika Rais Samia ni kiongozi na nusu na ni kiongozi sahihi kabisa kuiongoza CCM na Taifa letu kwa ujumla wake. Ni jasiri muongoza njia,ni nahodha Hodari,ni jemedari imara ,ni simba wa nyika ,ni nyota ya matumaini,ni Mwamba usiotikiswa.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hivyo Wewe Ni Wa Jinsia Gani?Litupwe nje kabisa
MwanaumeHivyo Wewe Ni Wa Jinsia Gani?
KilimoSamahani mkuu kukuuliza.
Nje ya kufuatilia siasa huwa unajishughulisha na nini?
Ndio majibu aliopata kwa hoja alizotoa? Mmezidiwa akili, mnafikili yy akikuwa mjinga. Mtu mzima akivuliwa nguo huchutama sio kubong'oa/kupinda mgongo kama mfanyavyo nyie!Litupwe nje kabisa
Na msukuma mbunge wa Geita ana PHDHata SAMIA SULUHU HASSAN
Naye ana PhD
Basi kazi ipo Tanzania 🇹🇿
Hatujawahi kama taifa kupata kiongozi empty head kama huyo mama!Hongera mzalendo mwenzangu, Samia ni akili kubwa sana tumshukuru Mungu kwa kuipendelea nchi yetu, Samia ni zawadi baada ya siku chache nitaandika kwanini ni zawadi ya kipekee. Mungu anaipenda nchi yetu tumshukuru Mungu. Kazi alizofanya ndani ya muda mfupi na anaajiri kwa nguvu ya ajabu, Samia ni mojawapo ya maajabu makubwa. Hakuna kima atamkwamisha.
Ndio kula yako hiyo!! No way pambana maana hata kiongoz akijamba utamwambia.... Pole kiongoz kwa kujamba hujaumia kweli!! Angalau mkono wako uende kinywani.Ndugu zangu Watanzania,
Maneno yana nguvu,maneno yanaleta hamasa,maneno yana leta ushindi ,maneno yana ponya ,maneno yanaweza fanya Mtu akaingia uwanja wa vita bila silaha mkononi kupambana na mwenye silaha ya kivita na akashinda vita bila silaha, maneno yanaleta amani ya moyo ,maneno yanaleta matumaini,maneno yanatia nguvu ,maneno yanaleta na kuwajaza watu ujasiri ,maneno yana Uwezo wa Kuleta mabadiliko na mageuzi ya kifikira.
Kwa hakika maneno yaliyotoka kwenye kinywa cha Rais wetu na Mama yetu kipenzi na Mwenyekiti wa chama changu cha Mapinduzi,kwa hakika yamenibubujisha Machozi ya furaha mpaka kupelekea kuvimba macho Utafikiri nimeng'atwa au kuumwa na nyuki waliochokozwa katika mzinga wao.
Ni maneno ya kijasiri ,ni maneno ya kiuongozi ,ni maneno ambayo yametulipua kwa furaha wana CCM wote na wale wote wenye kuipenda Nchi hii na kuiamini CCM kama chama pekee chenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu na kuliletea maendeleo endelevu na yenye kugusa Maisha ya watu.
Ni maneno ambayo kila mwana CCM alitamani kuyasikia yakitoka katika kinywa cha Rais wetu na mwenyekiti wetu. ili kuleta na kujenga heshima na nidhamu ya chama chetu. Ni maneno ambayo yametukumbusha kuwa CCM ni kubwa kuliko mtu yeyote yule na hakuna aliye juu ya CCM wala mwenye uwezo wa kuipasua CCM.
Ni maneno ambayo yameonesha kuwa huwezi kuitikisa CCM wala kuiyumbisha wala kuigawa wala kuitunishia misuri na kuleta kiburi kwa CCM ukiwa ndani ya CCM.
Kwa hakika Rais Samia ni kiongozi na nusu na ni kiongozi sahihi kabisa kuiongoza CCM na Taifa letu kwa ujumla wake. Ni jasiri muongoza njia,ni nahodha Hodari,ni jemedari imara ,ni simba wa nyika ,ni nyota ya matumaini,ni Mwamba usiotikiswa.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Basi kazana kulima mkuuKilimo
Weka kwanza yako ndugu yangu mtanzaniaweka picha
Mimi nilishajikomboa kwa kila kitu.Basi kazana kulima mkuu
Ukifanikiwa utajikomboa kifikra.
Bwabwa hiloHili jamaa kama punga