Maneno ya Rais Samia Yanibubujisha Machozi Ya Furaha Mpaka Kuvimba Macho Utafikiri nimeng'atwa na Nyuki waliochokozwa katika Mzinga wao

Picha Yako hiyo hapo
 

Attachments

  • file_000000002b1c61fd899f49fe2c094e98.png
    2.7 MB · Views: 18
Clubhouse imevamiwa hadi na kunguni kama huyu.

Uchawa wake humu umefeli kwa sasa 90% miaka 2 ya mwanzo alijitahidi kuweka kile kinamba chake cha simu alipopuuzwa ameacha.
Nimeacha nafasi ili na wewe uanze kuweka namba yako ndugu yangu mtanzania uliyejikatia tamaa ya maisha na kupoteza matumaini
 
Nimeacha nafasi ili na wewe uanze kuweka namba yako ndugu yangu mtanzania uliyejikatia tamaa ya maisha na kupoteza matumaini
Mimi uliwahi kuona ninaweka namba yangu ya simu humu ?

Wewe kidampa ndio ulikuwa unaweka namba humu utumiwe handouts na ukidanganywa itarahisisha kuteuliwa .

Hopeless kabisa.
 
Mimi uliwahi kuona ninaweka namba yangu ya simu humu ?

Wewe kidampa ndio ulikuwa unaweka namba humu utumiwe handouts na ukidanganywa itarahisisha kuteuliwa .

Hopeless kabisa.
Mimi sitafuti uteuzi hapa jukwaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…