Maneno ya Rais Samia Yanibubujisha Machozi Ya Furaha Mpaka Kuvimba Macho Utafikiri nimeng'atwa na Nyuki waliochokozwa katika Mzinga wao

Clubhouse imevamiwa hadi na kunguni kama huyu.

Uchawa wake humu umefeli kwa sasa 90% miaka 2 ya mwanzo alijitahidi kuweka kile kinamba chake cha simu alipopuuzwa ameacha.
Huyu mhuni CH hana akili yoyote ni lijinga tu ila nashangaa humu kwa wanaojiita great thinkers hawajui hili
 
Mbona wewe hujatekwa kama kweli watu wanatekwa.
Kwahiyo hao waliotekwa hujaona hadi mimi nikitekwa ndio uamini utekaji upo?

Unaweza kuniambia Mdude hadi leo siku ya 28 yupo wapi?

Soka hadi leo miezi 9 yuko wapi?

Ndio maana mmeshindwa kujibu mmeungana kupiga mipasho na mama yenu.

Mpuuzi mkubwa wewe.
 
Mdude ndio nani.
 
Unaambiwa Usiuwe nawako watauwawa unaleta michambo ya taarab za zenji🤣🤣🤣
Mashangaz shangingi ya uswahilini lazima yabubujikwe kwa furaha!!
Ukikuta mwanaume anashabikia vichambo vyakike dhidi ya fact basi jua dhahiri kashaleft grupu huyo👿
 
Hongera mzalendo mwenzangu, Samia ni akili kubwa sana tumshukuru Mungu kwa kuipendelea nchi yetu, Samia ni zawadi baada ya siku chache nitaandika kwanini ni zawadi ya kipekee. Mungu anaipenda nchi yetu tumshukuru Mungu. Kazi alizofanya ndani ya muda mfupi na anaajiri kwa nguvu ya ajabu, Samia ni mojawapo ya maajabu makubwa. Hakuna kima atamkwamisha.
 
Kwa hakika Rais Samia ni zawadi kutoka kwa Mungu Mwenyewe
 
Dish kuyumba Lucas Mwashambwa! Mental health is real! Unabubujikwa machozi kwa ujinga!
 
Acha habari za ukabila hapa. Jikite katika hoja tu ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa Mawazo
Sasa kwa tabia hizo si unasadifu unakotoka. Nchi inaliwa, wananchi wanaotekwa na kuuwawa nyie mnaona ni kawaida. Anyways, so kama mlikuwa mnachuna watu ngozi lazima muone udharimu huo ni kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…