Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Hitmen huko aliko mbona wengi tu na si ghali...hajakanyaga pabaya bado,Ila unaweza tafuta ndugu zake huku ukawashughulikia....mchuma janga hula na wa kwao
Ndugu has nothing to do with huo ujinga.
 
Hivi ni mimi tu sijajua/ kuona hicho kinacho zungumziwa kwa Irene au kuna wenzangu pia? Tujuane aisee....

Huyu Dada wakuitwa Mange ni anavuka mipaka sasa....
Watu anaowachafua nafikiria wangekuwa ndugu zake angeweza kufanya hivyo?

Anyway! Siku zote kichaa anachekesha ikiwa hatokei familia yenu/yako..
Inasikitisha huyu Dada anaumiza sana Watu lakini anajisahau na yeye ana Watoto, nahisi Huruma sana kwa wale Malaika, kitu ambacho Mama yao anawaandalia sio chema kabisa.
 
Kuna taarifa yule mwanamke ni mgonjwa wa kansa ya damu, anajijua wazi siku yeyote atakata kamba. Jambo hili ndiyo linamfanya atende ujinga ule, hana cha kupoteza na kuharibu maisha ya mtu kwake ni faraja.
Mmh hii kali,
Kansa ya Damu ipo stage ngapi maana Mtu anadunda vile na viuno anakata, au Kansa ya Mchongo?
 
Upo sahihi,
Ana Mental Disorder iliyotokana na Trauma ya alichokishuhudia kwa Baba ake na Ndoa yake ilivyovunjika kwa kubebewa Mume na Shoga ake ndio alitaka kuwehuka kabisa, ila aliufyata maana Marekani sio Bongo ati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie nacheka km chizi wallah. Uwiiih
 
Mange anachofanya ni kurudisha watu kwenye mstari.

FARAGHA ziheshimiwe. Watu mko faragha, mtu anakuja na makamera....yanini!?
Watu wakijitambua, Mange atayeyuka taratibu kama barafu na kutokomea kusikojulikana.
Unajua maana ya faragha!?..watu wanajirekodi kwa furaha yso we uwarushe!!..wangetaka kutishwa wangejirusha wenyewe hewani
 
Shoa ako alivyoibiwa Mume hakuweza kumchamba mwizi wake maana fujo zozote watoto wangepelekwa kwa Baba na yeye kurudi Bongo akawa Mpoleeeeee,
Ila Mange ni Bipolar.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan DA mange, yule babu aliporwa au waliachana kwa amani, then ndo akaenda kwa rafik ake??
 
Back
Top Bottom