Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Ndugu has nothing to do with huo ujinga.Hitmen huko aliko mbona wengi tu na si ghali...hajakanyaga pabaya bado,Ila unaweza tafuta ndugu zake huku ukawashughulikia....mchuma janga hula na wa kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu has nothing to do with huo ujinga.Hitmen huko aliko mbona wengi tu na si ghali...hajakanyaga pabaya bado,Ila unaweza tafuta ndugu zake huku ukawashughulikia....mchuma janga hula na wa kwao
Ndiyo njia pekee ya kumkomesha yule..Ndugu has nothing to do with huo ujinga.
Inasikitisha huyu Dada anaumiza sana Watu lakini anajisahau na yeye ana Watoto, nahisi Huruma sana kwa wale Malaika, kitu ambacho Mama yao anawaandalia sio chema kabisa.Hivi ni mimi tu sijajua/ kuona hicho kinacho zungumziwa kwa Irene au kuna wenzangu pia? Tujuane aisee....
Huyu Dada wakuitwa Mange ni anavuka mipaka sasa....
Watu anaowachafua nafikiria wangekuwa ndugu zake angeweza kufanya hivyo?
Anyway! Siku zote kichaa anachekesha ikiwa hatokei familia yenu/yako..
Hiyo harushi porn anarusha udhalilishaji, Porn mtu hu record kwa willingness yake ili apate pesaNa Marekani porn siyo illegal[emoji736]
Hivyo ana uhakika wa usalama wake...
Neno faragha linapoteza maana ya post yako...Kama unajichukua video ukiwa faragha maana yake unataka watu waone ujinga wako. Mange anakusaidia kuzirusha ili lengo lako lifanikiwe.
Sasa ukose app ya mange afu iweje mlongo?? Nikiwa kwenye app tayari nashiba. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi pia nishajiunga siwi muongo,Ila hapa kati sijajiunga kwa kua Nina Mambo mengi
Nani mwenye fedha aliyepostiwa!?Apost mara ngapi?
Mbona amepost nyingi tuu?
Mmh hii kali,Kuna taarifa yule mwanamke ni mgonjwa wa kansa ya damu, anajijua wazi siku yeyote atakata kamba. Jambo hili ndiyo linamfanya atende ujinga ule, hana cha kupoteza na kuharibu maisha ya mtu kwake ni faraja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie nacheka km chizi wallah. UwiiihUpo sahihi,
Ana Mental Disorder iliyotokana na Trauma ya alichokishuhudia kwa Baba ake na Ndoa yake ilivyovunjika kwa kubebewa Mume na Shoga ake ndio alitaka kuwehuka kabisa, ila aliufyata maana Marekani sio Bongo ati
Umekosea kusema mdio njia pekee. Aema ndio njia fupi ya kumfikishia maumivu na majuto. Njia zipo nyingi bila kuathiri nduguNdiyo njia pekee ya kumkomesha yule..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmh hii kali,
Kansa ya Damu ipo stage ngapi maana Mtu anadunda vile na viuno anakata, au Kansa ya Mchongo?
Njoo bwana tutengeneze bonge la connection tutoke kimaisha[emoji1787] nyoo
Mange anachofanya ni kurudisha watu kwenye mstari.Kwa hiyo Uhuru wa Habari ni kuangusha wengine kwa Presha!!!
Uhuru ukizidi hugeuka Kilio
Kuna manzi aliwahi kulisema hilo, huyo Mange alisababisha kifo cha ndugu yake. Tulipe muda hili suala, maana nasikia yupo ngangari ila kwake ni too lateMmh hii kali,
Kansa ya Damu ipo stage ngapi maana Mtu anadunda vile na viuno anakata, au Kansa ya Mchongo?
HuendaUmekosea kusema mdio njia pekee. Aema ndio njia fupi ya kumfikishia maumivu na majuto. Njia zipo nyingi bila kuathiri ndugu
Shoa ako alivyoibiwa Mume hakuweza kumchamba mwizi wake maana fujo zozote watoto wangepelekwa kwa Baba na yeye kurudi Bongo akawa Mpoleeeeee,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie nacheka km chizi wallah. Uwiiih
Unajua maana ya faragha!?..watu wanajirekodi kwa furaha yso we uwarushe!!..wangetaka kutishwa wangejirusha wenyewe hewaniMange anachofanya ni kurudisha watu kwenye mstari.
FARAGHA ziheshimiwe. Watu mko faragha, mtu anakuja na makamera....yanini!?
Watu wakijitambua, Mange atayeyuka taratibu kama barafu na kutokomea kusikojulikana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan DA mange, yule babu aliporwa au waliachana kwa amani, then ndo akaenda kwa rafik ake??Shoa ako alivyoibiwa Mume hakuweza kumchamba mwizi wake maana fujo zozote watoto wangepelekwa kwa Baba na yeye kurudi Bongo akawa Mpoleeeeee,
Ila Mange ni Bipolar.