Mange Kimambi amtuhumu Lema kuishi sea cliff kwa miezi miwili sasa

Siku hizi mara nyingi tu anatoa taarifa potofu, anadanganya JK mgonjwa baada ya muda mfupi tunamuona JK yupo na ugeni gani sijui huko kwake!.

Kale kamekuwa kaongo kaongo tu siku hizi. Kana mapepe sana na yule mwenzie wa FB.
 
Kupanga Sea cliff miezi miwili kwa LEMA anaweza kwa pesa yake ya mfuko wa shati ,hakuna maajabu....Hivi kweli Lema anashindwa kuwa na 6m ya kukaa pale miezi 2? Watu kama kina Lema ambao wanawindwa hawatakiwi wakae uchochoroni ,inatakiwa wakae sehemu yenye ulinzi wa uhakika nasi rahisi kufikika.
 
Siku hizi mara nyingi tu anatoa taarifa potofu, anadanganya JK mgonjwa baada ya muda mfupi tunamuona JK yupo na ugeni gani sijui huko kwake!.

Kale kamekuwa kaongo kaongo tu siku hizi. Kana mapepe sana na yule mwenzie wa FB.
Alieleta habari za JK mgonjwa ni Maria Sarungi, ila Mange alikanusha na kusema JK ni mzima. Ingia kwenye akaunti ya X ya Mange utaona hizo post zake.
 
6m ni siku 9 tu pale na hapo hujala Wala kula.
 
Alifikiwa magu akiwa ikulu sembuse lema??
 
Kuna kosa gani mtu kukaa hotel? watu kama mmechanganyikiwa. Mange amewafanya kama midoli ndio maana chama kinaendeshwa kihuni
 
Kuwa mwanaharakati inahitaji ujikane mwenyewe, just imagine wewe ndio Godbless Lema, Mama Samia amekuita Chemba amekuwekea kwenye account yako bilioni 10 cash.. amekwambia NATAKA WALE CHADEMA UWE UNAWA-SNITCH...

Kukataa hiyo offer inahitaji uwe mtu kama sisi hiphop ngumu, ngumu nyeusi. Wagumu kwenye hizo mbanga tumebaki wachache sana.
 
Siku hizi mara nyingi tu anatoa taarifa potofu, anadanganya JK mgonjwa baada ya muda mfupi tunamuona JK yupo na ugeni gani sijui huko kwake!.

Kale kamekuwa kaongo kaongo tu siku hizi. Kana mapepe sana na yule mwenzie wa FB.

huyo jamaa naye ni kama mtoto sijui hata alifikaje huko juu, yuko soo predictable, kila kitu hata ishu ndogo tu ni lzm a-prove wrong, inaelekea anashinda insta na tik tok siku nzima, angetumia muda wake hata tu kujisomea vitabu labda? sioni tofauti na bongo flava au bongo movie matendo yao, soo petty ...
 
Alieleta habari za JK mgonjwa ni Maria Sarungi, ila Mange alikanusha na kusema JK ni mzima. Ingia kwenye akaunti ya X ya Mange utaona hizo post zake.
Nikwambie jambo tu. Wachana na mambo ya hao wanaharakati.

Usiwape promo kabisa, iko siku utajuta, hawakawii kubadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…