Sasa hawa watu watashindwa kukuua?Dah, aisee nchi Inaliwa...
Nimejumlisha hio pesa ni 24,461,544,521.25 TZS, bilioni 24..
Wewe linganisha tu, nani fisadi kwa hesabu, mengine hayana maana.Ila mbona kama Mange anamtetea sana Heche kuna nini kati yao... inatia shaka
Kula ule chako sio cha umma tena chenye makando kando, mtumishi wa umma unatoa wapi B ya kuweka benki angekuwa Bharesa tungesema biashara zake, Wambura?Mange anajenga hoja kipuuzi sana, kwake heri anayekula kidogo kuliko yule anayekula kingi!.
Kama hawezi kumkemea anayekula kidogo anapata wapi jeuri ya kumlaumu anayekula kingi?
Badala aje na hoja ya kumsafisha Heche kama angeweza, ameona aje kuuficha uchafu wa Heche kwa kuweka uchafu mwingine juu yake!
Hao wote ni wachafu bila kujali kiasi wanachokula, aache uchambuzi wake wa kitoto.
Walipewa tshirt za hatuna den , na mitano tena na kupewa target ya kukoment kwa social media kwa 10Chawa wa mboga mboga hapa hawapiti na wanajifanya hawaoni.
Duuh.
We na hizo.statements zako feki utakufa km Rachel Dangwa, mnakuja kutolea stress zenu nyie mmeshachanganyikiwaKama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche.
Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri wa Raisi, Angela Kizigha ambayo ni ya billions over billions.
Yoyote anaetaka kuhoji statements za @HecheJohn aanze kwanza kuhoji hizi maana hizi bank statements ni moja ya sababu wananchi waliandamana October 29.
Ila CRDB sio bank ndugu zangu, mimi mwenyewe kiulaini tu nilipata hizi statements….
View attachment 3674719View attachment 3674720View attachment 3674721View attachment 3674722
Sawa mimi nitakufa wewe utabaki unalinda kaburi la bibi yako.We na hizo.statements zako feki utakufa km Rachel Dangwa, mnakuja kutolea stress zenu nyie mmeshachanganyikiwa
We zuzu unajidanganyaSasa naelewa kwa nini CCM wanamchukia sana Lissu. Hakuna mtu asiyejua kwamba Lissu anachukia sana mambo ya rushwa na CCM wamemuonga na amekataa. Kwa hiyo wanajua kabisa jamaa akichukua nchi mambo yakuiba fedha ndo yatakuwa yamekwisha. Na watu watafungwa kwa sababu ya wizi wa mali za umma.
Sijawai kusikia mwanaCCM yeyote anayejaribu kutetea chama chake na watu wake kwa kulinganisha unyoofu wa Lissu ama Heche etc na Samia, zaidi sana ni porojo tu za kishabiki ambazo hazina uhalisia.
Kuna watu wana hack hadi computer systems za accounts za Pentagon sembuse CRDB ya bongo.Nje ya mada kidogo
Kuna watu hapo Bank watapoteza kazi
Huyu kahaba anajua kuwapumbaza wale nyumbu wake wa chadema, na wanaamini kabisa hiyo taarifa ni ya kweli. Siyo rahisi kupata statement ya benki ya mtu sembuse ya IGP? Tumieni akili badala ya makalio. Huyo mfanyakazi wa benki atakayejaribu labda hajipendi, kwa teknolojia iliyopo atakayehusika na huo upuuzi anajulikana. Mnatengeneza upuuzi wenu kujaribu kupandisha hasira za wananchi, kuchochea chuki dhidi ya viongozi, ila ni wapumbavu wachache mtawapata, mwisho wa huyo malaya ni mbaya sana!Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche.
Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri wa Raisi, Angela Kizigha ambayo ni ya billions over billions.
Yoyote anaetaka kuhoji statements za @HecheJohn aanze kwanza kuhoji hizi maana hizi bank statements ni moja ya sababu wananchi waliandamana October 29.
Ila CRDB sio bank ndugu zangu, mimi mwenyewe kiulaini tu nilipata hizi statements….
View attachment 3674719View attachment 3674720View attachment 3674721View attachment 3674722
Kaingiziwa milioni 10 na milioni 20 na Salmin kwenye akaunti yake chawa wa CCM wanataka TAKUKURU ichunguze.Kwani Heche A/c inasomekaje?
Argument zako zinaonesha elimu yako ni ya hapa na pale.Huyu kahaba anajua kuwapumbaza wale nyumbu wake wa chadema, na wanaamini kabisa hiyo taarifa ni ya kweli. Siyo rahisi kupata statement ya benki ya mtu sembuse ya IGP? Tumieni akili badala ya makalio. Huyo mfanyakazi wa benki atakayejaribu labda hajipendi, kwa teknolojia iliyopo atakayehusika na huo upuuzi anajulikana. Mnatengeneza upuuzi wenu kujaribu kupandisha hasira za wananchi, kuchochea chuki dhidi ya viongozi, ila ni wapumbavu wachache mtawapata, mwisho wa huyo malaya ni mbaya sana!
Ooooohooooo!Ifwa muunu!Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche.