Binadamu hatulingani akili mkuu, Imagine kichaa amekwibia nguo yako nzuri uliyokuwa umeanika nje, je na wewe ukikuta sehemu amelala na yupo na furushi pembeni la makombo kibao, utamwibia ili umkomoe?Vipi ikitokea na mhusika naye alifurahia vifo/mateso ya wenzake enzi za uhai wake? Si ndiyo watu huongelea sasa masuala ya "KARMA" katika hili!!
Bahati mbaya hata Nyerere alipokufa mwaka 1999, kuna wadau kama Mchungaji Christopher Mtikila (na yeye ameshatangulia mbele za haki) walimkejeli na kumcheka hadharani!Binadamu hatulingani akili mkuu, Imagine kichaa amekwibia nguo yako nzuri uliyokuwa umeanika nje, je na wewe ukikuta sehemu amelala na yupo na furushi pembeni la makombo kibao, utamwibia ili umkomoe?
Ukinijibu hapo nitakuelewa.
Lastly ubaya hulipwa kwa wema ili hadi wengine waone ubaya uliotendewa. Ukilipwa kwa ubaya watu wataona wewe ndiye uliye na makosa.
Tujifunze kusamehe. But sorry kama nimekuudhi.
Wajameni mtu akikufa tusishangiliage nass tumo uuuuuuuuIla wanadamu siye hata km mtu humpendi unashangilia ili iweje?!!!yaani wanadamu bwanaa!!!roho mbaya tu!mfyuu zenu!!!
Yes, ni tamaduni na desturi zetu ndio zinaelekeza hivyo!Nimeona kwenye mitandao polisi wakikamata watu kwa tuhuma zakushangilia kifo. Naomba kujiuliza ni sheria gani inayotumika kufanya huu ukamataji? Nikifungu gani kinachotamka ili ni kosa?
Kama kifungu hicho kipo, je kinatumika kwa viongozi tu au hata raia wakawaida? Ningetamani kukijua ili jamii iweze kukitumia pale wanapopoteza wapendwa wao nakutokea watu wanaosherekea.
Kwahiyo wote tulie kwa kupenda au kwa lazima.
Vipi ikitokea na mhusika naye alifurahia vifo/mateso ya wenzake enzi za uhai wake? Si ndiyo watu huongelea sasa masuala ya "KARMA" katika hili!!Binadamu hatulingani akili mkuu, Imagine kichaa amekwibia nguo yako nzuri uliyokuwa umeanika nje, je na wewe ukikuta sehemu amelala na yupo na furushi pembeni la makombo kibao, utamwibia ili umkomoe?
Ukinijibu hapo nitakuelewa.
Lastly ubaya hulipwa kwa wema ili hadi wengine waone ubaya uliotendewa. Ukilipwa kwa ubaya watu wataona wewe ndiye uliye na makosa.
Tujifunze kusamehe. But sorry kama nimekuudhi.
Vipi ikitokea na mhusika naye alifurahia vifo/mateso ya wenzake enzi za uhai wake? Si ndiyo watu huongelea sasa masuala ya "KARMA" katika hili!!Yes, ni tamaduni na desturi zetu ndio zinaelekeza hivyo!
Hapa umeongea point mkuu👏Bahati mbaya hata Nyerere alipokufa mwaka 1999, kuna wadau kama Mchungaji Christopher Mtikila (na yeye ameshatangulia mbele za haki) walimkejeli na kumcheka hadharani!
Hivyo hakuna jipya katika hili. Huwezi kupendwa na kila mtu. Magufuli alitengeneza maadaui wengi sana enzi za utawala wake. Hivyo ni vyema tukajifunza kuishi kwa kutenda mema hapa duniani. Ubinafsi, uonevu, ubaguzi, nk. Ndivyo huzaa aina hizi za chuki.
Bora mkuu umejiondoa kwenye unafiki,unaambiwa "kataa kuwa mnafiki uonekane una roho mbaya!"Bahati mbaya hata Nyerere alipokufa mwaka 1999, kuna wadau kama Mchungaji Christopher Mtikila (na yeye ameshatangulia mbele za haki) walimkejeli na kumcheka hadharani!
Hivyo hakuna jipya katika hili. Huwezi kupendwa na kila mtu. Magufuli alitengeneza maadaui wengi sana enzi za utawala wake. Hivyo ni vyema tukajifunza kuishi kwa kutenda mema hapa duniani. Ubinafsi, uonevu, ubaguzi, nk. Ndivyo huzaa aina hizi za chuki.
Acha tabia ya kupenda kuwapangia watu. Tamaduni na desturi gani unazo ziongelea? Wakati huyo shujaa wenu anawajeruhi na kuwaua wengine kupitia maamuzi yake ya hovyo, alikuwa analia au alikuwa anafurahia?Yes, ni tamaduni na desturi zetu ndio zinaelekeza hivyo!
Kwahiyo kama moyo wangu unatamani kufurahia nijilazimishe kuhuzunika?Lkn utaanzaje kushangilia kifo cha mwenzako??
Kisheria sijui but kiheshima tu si vzr kushangilia msiba mana huwezi jua badaye yako.
Chuma kimelala maisha lazima yaendelee. Wakushangilia ashangalie na wa kuhuzunika wahuzunike..! Usimpangie mtu kuonesha hisia zake.Hao wangewatenganishia shingo na vichwa tu mambo mengine yaendelee! Si kwa kiwango cha kukosa uzalendo wa level hiyo! Wanaachiwa vichwa kwa faida ya nani!
Kwakweli Mh. Rais Samia anatakiwa aanze ku-deal na watu kama Kunenge RC wa Dar kwa tangazo alilolitoa jana kwamba hakuna sherehe yoyote itakayofanyika ndani ya siku 21 za maombolezo.Nimeona kwenye mitandao polisi wakikamata watu kwa tuhuma zakushangilia kifo. Naomba kujiuliza ni sheria gani inayotumika kufanya huu ukamataji? Nikifungu gani kinachotamka ili ni kosa?
Kama kifungu hicho kipo, je kinatumika kwa viongozi tu au hata raia wakawaida? Ningetamani kukijua ili jamii iweze kukitumia pale wanapopoteza wapendwa wao nakutokea watu wanaosherekea.
Ben Sanane na Azori wako wapi ?Ila wanadamu siye hata km mtu humpendi unashangilia ili iweje?!!!yaani wanadamu bwanaa!!!roho mbaya tu!mfyuu zenu!!!
Yes, ni tamaduni na desturi zetu ndio zinaelekeza hivyo!