Peter Q Antony
Member
- Jul 16, 2018
- 18
- 6
Non sense. Ninyi mlikatazwa kuunda vyama vyenu? Wivu tu..Mlipokuwa mkijenga Mitandao ya kikabila hamku project mbeleni kuwa litakuja fumuka ? Yaani Tanzania Ina makabila 120 mkajiona wote 119 wajinga kasoro ninyi tu? Kuwa hayo makabila yote 119 hawajui umuhimu wa mitandoa ya kikabila kwa ajili ya kujipendelea kwenye ajira,vyeo,fursa ,tenda nk ? Hamkuliona Hilo kuwa mbeleni litawaletea shida?
Chaga empire aijajengwa kwa siku moja , utasubir sanaWachagga mmezidi, acha kujitia ufahamu.
Wewe dogo mimi nchi hii ninaifahamu yote, huko uchaggani unakolingia napafahamu sana, ni pa kawaida tu mtu unamiliki robo eka halafu unasema we tajiri
Tunazifahamu nyumba nyingi za udongo huko machame na migomba iliyochoka mashina kama mguu wa mbuzi mbona hamuonyeshi ? Kawadanganye wasiofika kilimnjaro maisha ni magumu sana ule mkoa. Mbona husemi kuhusu mazezeta wa huko Kishumundu na old Moshi ? Hui mkia ni kaa la moto kuishi, ardhi haitoshi, chakula maeneo mengi ni shida tupu. Acha kujiinua bila sababu, maisha ya waafrika wote tunafanana tu.

Walikubagua au wamekuacha?Hapo Mkuu wa Mkoa wa Manyara, yuko sahihi. Hawa watu wa mkoa huo tajwa wana ubinafsi sana.
Watu wa nje wote wanajua na huwa kabla ya kuingia mahali wanauliza nani anafaa kufanya kazi na nani hafaiHata waajiri wanajuwa ukitaka mtu wa kazi tafuta mtu from kaskazin. Tushindane kwa kaz sio chuki. Chagas ni moto... Hard and smart ndio maana kama hilo jamaa watalitoa makamasi... Kwkwkw
Nchi imeingiliwa na banyamulengeHivi tumefikaje hapa?
Lile tayari lina chuki na wachaga tu eti wana maendeleo kuliko waoWe nawe acha upumbavu wako,umezidisha masifa mpaka unakera!! Sijui mchaga gani mpumbavu hivi? Sasa hilo shetani likiona masifa ya kijinga kama haya ya kwako si linaweza ku justify ubaguzi wao dhidi ya wachaga? Au anaweza kupeleka pendekezo kwa mkuu ateketeze wachagga wote maana wanamkwamisha? Na si unajua jinsi yule mtu asivyowapenda? Hebu kaeni kwa adabu jamani,mpo hatarini mjue
Tatizo ni kwamba huwezi kuwashugulikia wachaga bila kuumiza wapare,warundi,watutsi n.k. kwani kila kabila lina jamii na ukileta hizo habari za ukabila unaweza kujikuta unawasha mto ambao huwezi kuuzima.Anatekeleza maagizo ya bwanayule kuwashughulikia wachaga! Na wenye viherehere wengine!
Kwani ili mtu akusaidie kwenye msiba ni lazima awe wa kabila lako tu? Hoja dhaifu hii.kusaidiana katika majanga kama vile misiba n.k
Mlikotoka kuna kabila moja tu? Hoja mufilisi hii.kuhamasisha maendeleo tulikotoka
Wewe akili zako ziko kwene mnyeti tuKwani ili mtu akusaidie kwenye msiba ni lazima awe wa kabila lako tu? Hoja dhaifu hii.
Mlikotoka kuna kabila moja tu? Hoja mufilisi hii.
Mnyeti shikilia hapo hapo baba. Majitu haya yanaleta ukabila nchini.
Karibu uchagani mkuu dévelopment area,hapa sio uholanzi ni marangu moshi vijijinSasa hako kashamba robo eka unataka kumbabaisha nako nani ? Watu tuna mashamba makubwa lakini hatujidai. Acha kujitekenya