Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133
Tukio lililotokea Hanang kwa nchi za wenzetu ni kubwa lakini kwetu ni dogo haliwezi kuizidi mechi ya mpira! Jana Jumatatu asubuhi vituo vya TV karibu vingi vilikuwa na uchambuzi wa mpira, haiingii akilini, ukifungua Tv haukuti taarifa zozote kuhusu maafa hayo zaidi ya muziki wa Bongo fleva na muvi! Mambo yanaenda kimyakimya kwani hata TBC1 inaonesha sura za viongozi tu wanapokuwepo kwenye eneo, wakiondoka nao wanaondoka!

MODS, ISOMEKE MANYARA BADALA YA HANANG.
SIKU zote nasemaga humu taifa la tanzania sahvi limekuwa la wakata
Mauno tu

Ova
 
Tukio lililotokea Hanang kwa nchi za wenzetu ni kubwa lakini kwetu ni dogo haliwezi kuizidi mechi ya mpira! Jana Jumatatu asubuhi vituo vya TV karibu vingi vilikuwa na uchambuzi wa mpira, haiingii akilini, ukifungua Tv haukuti taarifa zozote kuhusu maafa hayo zaidi ya muziki wa Bongo fleva na muvi! Mambo yanaenda kimyakimya kwani hata TBC1 inaonesha sura za viongozi tu wanapokuwepo kwenye eneo, wakiondoka nao wanaondoka!

MODS, ISOMEKE MANYARA BADALA YA HANANG.
wewe mtoa mada huna akili yaani tukio dogo sana hilo ndio unakuja kuleta ujinga hapa yaani watu 63 waliokufa ndio unataka vyombo vya habari vishike mabango ikiwa Tanzania tuna watu milioni 60 na zaidi.. wangekufa watu elfu 10 na zaidi walau ila watu 63?
 
Hiyo ni landslide! Volcano ni mlipuko wa matope ya moto na landslide ni maporomoko ya mlima uliozidiwa na maji kutokana na mvua!
Hii sio maana halisi ya landslide Kama ulivyofafanua!
 
watu 63 waliokufa ni watu wachache sana katika idadi ya watu milioni 60 na zaidi waliopo tanzania kikubwa nchi hapa imedhalilika kwa miundo mbinu mibovu, pesa zipo ila matumizi mabaya na bado majanga mengine yanakuja na yatawaangamiza wengi tu mpaka tutakapokuwa waaminifu kwenye matumizi ya pesa za wananchi kupitia serikali viongozi wengi akili zao zimezubaa mno.
Wachache ingekufaa familia yako yote labda ndo ingekuwa watu wachache...!!
 
Kilichotokea ni landslide, siyo mafuriko (flooding), wala siyo mudflow.

Mudflow inasababishwa na kufurika kwa maji na kisha yale maji kuwa na uwezo wa kuondosha udongo wa juu na kuufanya tope.

Landslide and mudslide ni movement ya ardhi inayoweza kusababishwa na mvua kubwa ambapo layer moja ya ardhi hutembea juu ya layer nyingine kwa sababu contact inakuwa saturated na maji.

Kwa kawaida madhara ya landslide huwa ni makubwa kuliko mudflow kutokana ukubwa wa mzigo unaosababishwa na landslide.

Hawa got it right.

At least 47 people killed and 85 injured by landslides in Tanzania

The Guardian, UK.
Watu wanasema Mud flow sijui shule ya wapi...!!
 
Wachache ingekufaa familia yako yote labda ndo ingekuwa watu wachache...!!
ujinga tu wa watanzania hadi leo tunashangaa kifo ikiwa ni Nature tayari ipo toka dunia kuumbwa na Mungu aliye hai. fungua ubongo huo acha ujinga
 
Tukio lililotokea Hanang kwa nchi za wenzetu ni kubwa lakini kwetu ni dogo haliwezi kuizidi mechi ya mpira! Jana Jumatatu asubuhi vituo vya TV karibu vingi vilikuwa na uchambuzi wa mpira, haiingii akilini, ukifungua Tv haukuti taarifa zozote kuhusu maafa hayo zaidi ya muziki wa Bongo fleva na muvi! Mambo yanaenda kimyakimya kwani hata TBC1 inaonesha sura za viongozi tu wanapokuwepo kwenye eneo, wakiondoka nao wanaondoka!

MODS, ISOMEKE MANYARA BADALA YA HANANG.
Tatizo ccm.
Hata Mwenezi anajali mambo yake tu.
 
Nikikurudishia utajiua, tatizo mama yako slikuwa anapenda sana kula ashua za mabeberu akakuzaa panya wewe.
Kama unashindwa kuthamini roho ya mtu mmoja, majeruhi na waliopotelewa na ndugu zao kisa uchache wao! Unatatizo.
Nimepinga kushupalia mambo ambayo yapo toka dunia kuumbwa hivi unajua kila dakika wanakufa watu wangapi mpaka uanze kushupalia jambo la hanang kama sio ujinga ni nini ikiwa unajua unachoandika ni ujinga.. bado hata hujafika kwenye level za upumbavu.. kifo kipo na lazima uende ulie usilie, usikitike usisikitike kifo kipo pale pale sasa ukiandika mambo kama haya kana kwamba tuna haki ya kuishi milele hapa duniani huo ndio ujinga sasa..
 
Nmewaza sana unajua huu ni msiba wa Taifa zima ila kama hakuna kilichotokea sijui hadi itokee Dar au Mwanza hata waandishi wetu hawawajbiki km ipaswavyo
 
Mmeletewa mpira wa simba na yanga ili muendelee kuwa wajinga zaidi
 
Nmewaza sana unajua huu ni msiba wa Taifa zima ila kama hakuna kilichotokea sijui hadi itokee Dar au Mwanza hata waandishi wetu hawawajbiki km ipaswavyo
mkuu hivi unajua kila siku hapa tanzania wanakufa watu wangapi? ina maana vifo vyote vitangazwe kwenye media sio?
 
mkuu hivi unajua kila siku hapa tanzania wanakufa watu wangapi? ina maana vifo vyote vitangazwe kwenye media sio?
Lile la Manyara sio tukio ni janga ,macho yote ya serkali na media ilibdi wawe pale Manyara watu wanateseka wengne wala hawana habari.
 
Back
Top Bottom