mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
SIKU zote nasemaga humu taifa la tanzania sahvi limekuwa la wakataTukio lililotokea Hanang kwa nchi za wenzetu ni kubwa lakini kwetu ni dogo haliwezi kuizidi mechi ya mpira! Jana Jumatatu asubuhi vituo vya TV karibu vingi vilikuwa na uchambuzi wa mpira, haiingii akilini, ukifungua Tv haukuti taarifa zozote kuhusu maafa hayo zaidi ya muziki wa Bongo fleva na muvi! Mambo yanaenda kimyakimya kwani hata TBC1 inaonesha sura za viongozi tu wanapokuwepo kwenye eneo, wakiondoka nao wanaondoka!
MODS, ISOMEKE MANYARA BADALA YA HANANG.
Mauno tu
Ova