Radio media zote wako bize na mizikiTukio lililotokea Hanang kwa nchi za wenzetu ni kubwa lakini kwetu ni dogo haliwezi kuizidi mechi ya mpira! Jana Jumatatu asubuhi vituo vya TV karibu vingi vilikuwa na uchambuzi wa mpira, haiingii akilini, ukifungua Tv haukuti taarifa zozote kuhusu maafa hayo zaidi ya muziki wa Bongo fleva na muvi! Mambo yanaenda kimyakimya kwani hata TBC1 inaonesha sura za viongozi tu wanapokuwepo kwenye eneo, wakiondoka nao wanaondoka!
Ongezea zuchu umondi kondeAsilimia kubwa Usimba na Uyanga umetuharibu sana Watanganyika, ndio maana ata mambo ya msingi kuhusu sisi hatufuatilii kabisa.
Media zote zinajadili mondi kuibiwaWatanzania zaidi ya 70% vichwani mwao wameathirika na upuuzi wa Simba na yanga. Hata viongozi nao wameathirika na upuuzi huo. Bila utani wa Simba na yanga mahali pa kazi mambo hayaendi.
Tanganyika packers leo kuna tamasha misondo sijuiWatanzania zaidi ya 70% vichwani mwao wameathirika na upuuzi wa Simba na yanga. Hata viongozi nao wameathirika na upuuzi huo. Bila utani wa Simba na yanga mahali pa kazi mambo hayaendi.
What so special with hanang?Wanasaikolojia wanahitajika Hanang' Kwa ajili ya ushauri na kuwapa faraja waliopoteza ndugu
Hongereni na mnastahili kuwezeshwa kwani jambo mnalolifanya lina faida na umuhimu mkubwa sana katika kujaribu kurejesha fikra za wahanga zikae sawa na kurejea katika hali ya kawaida ili maisha yaendelee.Kundi la wanasaikolojia wazoefu (wa kujitolea)kutokea Sinza - Dar es Salaam wamewasili Mjini Katesh, Hanang' kuwapa ushauri nasaha waathirika wa mafuriko. Tuzid kuwaombea wasomi wetu hawa walioamua kujitolea bure kutoa huduma hii Kwa ndugu zetu Katesh
Mamlaka ya hali ya hewa iliposema kuna elnino tukadharau.
Kwengine huku kimenuka:
View attachment 2834365
Hili eneo linakuaga na
Nilishawahi kutana na hali kama hii hapa kitongo. Usiombe yakukute
Wapi hapo FaizaMamlaka ya hali ya hewa iliposema kuna elnino tukadharau.
Kwengine huku kimenuka:
View attachment 2834365
Kitonga, ukiisikiliza clip inasema ni wapi. Nimeituma kama nilivyopokea, sifahamu ya lini.Wapi hapo Faiza
Zama zimebadilika nduguWapigaji epukeni kudonoa pesa ya msaada Kwa waathirika Hanang' mtaishia pabaya.
NB: pesa za misaada kama michango ya msiba CAG hakagui Ila ikibidi tutapiga kelele akague
Zamoto kama upo nje ya chain ya upigaji.Pesa za Moto hizo