Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133
Tukio lililotokea Hanang kwa nchi za wenzetu ni kubwa lakini kwetu ni dogo haliwezi kuizidi mechi ya mpira! Jana Jumatatu asubuhi vituo vya TV karibu vingi vilikuwa na uchambuzi wa mpira, haiingii akilini, ukifungua Tv haukuti taarifa zozote kuhusu maafa hayo zaidi ya muziki wa Bongo fleva na muvi! Mambo yanaenda kimyakimya kwani hata TBC1 inaonesha sura za viongozi tu wanapokuwepo kwenye eneo, wakiondoka nao wanaondoka!
Radio media zote wako bize na miziki
Mipira umbea tu

Ova
 
Asilimia kubwa Usimba na Uyanga umetuharibu sana Watanganyika, ndio maana ata mambo ya msingi kuhusu sisi hatufuatilii kabisa.
Ongezea zuchu umondi konde
Uchawa mwijaku bBa level

Ova
 
Watanzania zaidi ya 70% vichwani mwao wameathirika na upuuzi wa Simba na yanga. Hata viongozi nao wameathirika na upuuzi huo. Bila utani wa Simba na yanga mahali pa kazi mambo hayaendi.
Media zote zinajadili mondi kuibiwa
Kofia

Ova
 
Watanzania zaidi ya 70% vichwani mwao wameathirika na upuuzi wa Simba na yanga. Hata viongozi nao wameathirika na upuuzi huo. Bila utani wa Simba na yanga mahali pa kazi mambo hayaendi.
Tanganyika packers leo kuna tamasha misondo sijui

Ova
 
Wanasaikolojia wanahitajika Hanang' Kwa ajili ya ushauri na kuwapa faraja waliopoteza ndugu
 
Kundi la wanasaikolojia wazoefu (wa kujitolea)kutokea Sinza - Dar es Salaam wamewasili Mjini Katesh, Hanang' kuwapa ushauri nasaha waathirika wa mafuriko. Tuzid kuwaombea wasomi wetu hawa walioamua kujitolea bure kutoa huduma hii Kwa ndugu zetu Katesh
Hongereni na mnastahili kuwezeshwa kwani jambo mnalolifanya lina faida na umuhimu mkubwa sana katika kujaribu kurejesha fikra za wahanga zikae sawa na kurejea katika hali ya kawaida ili maisha yaendelee.


Cc Dkt. Gwajima D
 
Mamlaka ya hali ya hewa iliposema kuna elnino tukadharau.

Kwengine huku kimenuka:

 
Wapigaji epukeni kudonoa pesa ya msaada Kwa waathirika Hanang' mtaishia pabaya.

NB: pesa za misaada kama michango ya msiba CAG hakagui Ila ikibidi tutapiga kelele akague
 
Back
Top Bottom