mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Radio media zote wako bize na mizikiTukio lililotokea Hanang kwa nchi za wenzetu ni kubwa lakini kwetu ni dogo haliwezi kuizidi mechi ya mpira! Jana Jumatatu asubuhi vituo vya TV karibu vingi vilikuwa na uchambuzi wa mpira, haiingii akilini, ukifungua Tv haukuti taarifa zozote kuhusu maafa hayo zaidi ya muziki wa Bongo fleva na muvi! Mambo yanaenda kimyakimya kwani hata TBC1 inaonesha sura za viongozi tu wanapokuwepo kwenye eneo, wakiondoka nao wanaondoka!
Mipira umbea tu
Ova