John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Kufa kufaana, Je, unataka waende wakale wapi????Wapigaji epukeni kudonoa pesa ya msaada Kwa waathirika Hanang' mtaishia pabaya.
NB: pesa za misaada kama michango ya msiba CAG hakagui Ila ikibidi tutapiga kelele akague
Wanayo mishahara na posho.Kufa kufaana, Je, unataka waende wakale wapi????
Hizo alizokwisha kagua na ukajua zimepigwa, wapigaji wamefanywa nini?Wapigaji epukeni kudonoa pesa ya msaada Kwa waathirika Hanang' mtaishia pabaya.
NB: pesa za misaada kama michango ya msiba CAG hakagui Ila ikibidi tutapiga kelele akague
Jana tumeambiwa 68 imekuwaje leo toll inashukaMANYARA: IDADI YA WALIOFARIKI KWA MAFURIKO YAFIKA 63, MAJERUHI 116
Idadi ya Watu waliofariki kutokana na mafuriko yaliyotokea katika Mji wa Kateshi, Wilayani Hanang imeongezeka na kufikia 63 baada ya kupatikana miili zaidi wakati wa zoezi la uokoaji linaloendelea
Huko mimi nimewahi kufika, hawakujenga mabondeni wala kwenye njia ya maji ni eneo salama kabisa, na sasa hivi njia ya maji imehamishwa na hayo maafa yametokea kwenye njia isiyo ya maji, lakini ni vile unawaza kimatamanio zaidi.Unauliza swali la kijinga na kipumbavu Kwa kuwa hujui hata maana ya serikali na majukumu yake..!!
Upangaji wa makazi unafanywa na watu binafsi au na serikali?
Ina maana wewe hujui kuwa serikali ndiyo yenye jukumu la kuzuia watu kuweka makazi ktk maeneo hatarishi hata kabla ya maafa.?
Lakini kinachofanyika ni nini? Ni serikali kutoa vibali vya ujenzi hata katika maeneo ambayo inajua fika kuwa ni hatari Kwa maisha ya watu..!
Si hivyo tu, bali pia ni jukumu la serikali kuhakikisha inajenga miundombinu ya kuzuia mafuriko...
Lakini hebu nenda na angalia kwenye miji yetu mingi. Mambo yako hovyo hovyo sana, watu wanajijengea nyumba hovyo, hakuna mifereji ya kupitisha maji mengi...
Ukitaka kujua hatari inayokuja, nenda ktk mji wa Mwanza uone namna watu wanavyojijengea hovyo na kwenye maeneo hatarishi huku mamlaka za serikali zinazohusika na mipango miji zikiangalia tu...
Kwa hiyo, ni kweli Kwa kiasi kikubwa serikali inastahili kulaumiwa Kwa uzembe na kushindwa kuwajibika hata kutokea Kwa maafa haya..!!
Wewe umewahi kufika tu lakini mimi huko ndo nyumbani kwetu...Huko mimi nimewahi kufika, hawakujenga mabondeni wala kwenye njia ya maji ni eneo salama kabisa, na sasa hivi njia ya maji imehamishwa na hayo maafa yametokea kwenye njia isiyo ya maji, lakini ni vile unawaza kimatamanio zaidi.