butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Yupo Ujombani siyo![emoji1787]Sidhani Kama ana hivyo akili ya kurudi nyumbani aache kula raha Dubai, sidhani.
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo Ujombani siyo![emoji1787]Sidhani Kama ana hivyo akili ya kurudi nyumbani aache kula raha Dubai, sidhani.
Tawala za chi karibu zote za bara la Afrika (ukiondoa Afrika ya Kusini na Misri kwa kiasi fulani) zina udhaifu mkubwa sana katika kupambana au udhibiti wa majanga, aidha majanga ya asili au majanga ya kusababishwa na binadamu wenyewe, ziko dhaifu mno. There's an extremely Poor Risks Management Plans and Strategies, unatakiwa kuwa mwangalifu sana unapokuwa ktk hizi nchi zetu za ki-Afrika, The Regimes are not serious on dealing with such kind of issues, tawala nyingi zimeelekeza nguvu zaidi ktk kununua "silaha za kiulinzi" ili kulinda "Utawala" ili usiondolewe madarakani lakini siyo kununua "Vifaa vya Uokozi" kwa ajili ya "Utayari" wa kupambana na Majanga endapo kama yatatokea. Kila raia apambane kivyake ktk kuokoa nafsi yake kwenye majanga kama haya, it's none of the regime's business. Kwanza hata Serikali zenyewe za Afrika hazina mipango na wala hazijishughulishi na suala la utoaji wa Elimu ya Kupambana au Udhibiti wa Majanga (Risks Mgt & Control Education) mbalimbali kwa Raia wake, hilo ni suala ambalo linaonekana kama haliwahusu.
Kwa mfano, wananchi wa Katesh wanataka wasaidiwe haya.
1. Walipwe fidia kwa hasara yote iliyotokana na mafuriko.
2. Waletewe Chakula cha kutosha, mavazi mapya na mazuri
3. Wahamishiwe kwa muda Dar mpaka watakaporekebishwa miundo mbinu, makazi yao na fidia kukamilika.
Sasa mheshimiwa yuko tayari kutekeleza hayo?
Nimeshangaa sana mkuubwa mkoa jana anasema waokoaji wamefika wanajiandaa kuanza uokoaji kesho asubuhi.
😅😅 kazi kweli kweli.
...Mkuu in all fairness huwa panapotokea majanga kama haya napo panatokea fursa za kihalifu, wizi na uporaji.
...hiyo picha nayo inaweza kutafasiriwa mara elfu moja ikiwa ni kweli "a picture sayeth a thousands words". Naelewa fika ujumbe uliotaka kutuma na sina tatizo nalo na hewhimu maoni yako ila tukubaliane kuna janga.
...niongezee. Yawezekana pia wapo hapo juu ya mabati kufanya coordination na askari wengine walio chini, kufanya utambuzi wa maeneo yalioathirika, yaani wanafanya reccon katika kusaidia uokoaji, ukumbuke mbali yakuwa na majukumu yao, pia wamepewa maelekezo na Amri Jeshi mkuu na itoshe kusema kuna taarifa kuwa Raisi anasitisha ziara yake huko Dubai kurudi nyumbani kuongoza na kukabiliana na Janga hili, kwanini tusitegemee Askari Juu ya Paa na Virungu na Silaha za moto?
Anyways....
Yule dogo mpiga mbizi alie trend kipindi kile precision Air inazama kitengo chake jakiusiki akaokoe.
Sawa, lakini haina maana kwamba askari wetu hawakuweza kufika eneo la ajali. Isitoshe, na kama sikosei walileta welders za chini ya maji.
Nadhani utakuwa unajishusha kwa kuidhalilisha nchi yako na hiyo ni kielelezo tosha kuwa unashindwa na uzalendo. Hatahivyo, sio kweli mambo ya uokozi ni sifuri. Hata wenzetu tunaofanyia mlinganisho mfano Marekani, walishindwa kabisa kufanya chochote wakati wa janga la Katrina[Failures in American Govt response]
Je hiyo imewafanya Wamarekani kuwa zero au sifuri kwenye "uokozi"? Nafikiri jibu ni hapana.
hayo uliyoyasema ndio yale wataalamu wanaita ukasuku. Ukiyachukua hayo maoni ya aliyoyaleta mbandika picha na kuyafanya ndio uhalisia bila hata ya kuperuzi na kudadavua picha na facts zingine, utayumba.
Ndugu yangu Mrangi, tuwe tunaitakia mema Serikali yetu na Jeshi letu nyakati hizi.
Hiyo sio land slide inaitwa MudslideHiyo ni landslide! Volcano ni mlipuko wa matope ya moto na landslide ni maporomoko ya mlima uliozidiwa na maji kutokana na mvua!
Mlima hanang unashusha mafuriko ya matope, katesh inafunikwa.
Inahisiwa kwamba crater ya juu ya mlima imezidiwa na maji na kupasuka.
Video hapa chini ni karibu na stendi ya katesh.
View attachment 2832069
Mkuu huwa Wana zuiliwa wasipigi picha, mm nilishuhudia mafuriko ya Moro mwaka huu mkurugenzi akiwa msando, alizuia waandishi wa habari wasipige picha za drone eneo la kihonda IPO tokea mafuriko
Waseme ukweli idadi idadi ya waliokufa mpaka asubuhi hii ni zaidi ya 100
Hawana akili hao watu.. nature ya JANGA ni matope mengi.. alafu jitu linavaa BUTI ..
Unauliza swali la kijinga na kipumbavu Kwa kuwa hujui hata maana ya serikali na majukumu yake..!!Serikali ina kosa gani?!
Kwa hiyo huko ujerumani uchina na California ambako mafuriko hutokea wote ni wa HOVYO, ndio maana tunasemaga upinzani ni takataka hawana akili.Mungu awanusuru waja wake.
Serikali ya hovyo na mipango yake ya hovyo hovyo hugharimu maisha ya watanzania kila msimu wa mvua
Kumbe ni msemo wa hukoZamani iliitwa volcano, siku hizi sijui hiyo inaitwa nini.
Askari nao waweza kufa kwa kutetea bunduki kwenye topeHawana akili hao watu.. nature ya JANGA ni matope mengi.. alafu jitu linavaa BUTI ..
Ktk hili zoezi kuna hatihati ya hao Waokoaji kufa pia.. watakufa kwa kujisindika kwenye tope na hiyo mibuti