Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133
Mambo ya Natural disaster tunachanganya na siasa, tunaharibu kabisa, majanga ya namna hii si ya kuibeza serekali kwani huweza kutokea popote pale, na huwa nje ya uwezo wa akili na sayansi zote za kibinadamu.

Kwenye natural disasters Kuna mambo mawili, Foreseen disasters na unforeseen disasters. Kwenye unforeseen disasters ni kwamba vyombo vya Dola au jamii haikuwa na taarifa yeyote kwamba janga Hilo litatokea. Kwenye foreseen ni kwamba serikali na jamii Zina taarifa za mapema kwamba janga litatokea au linaweza kutokea.

Kwa issue ya Hanang serikali ilikuwa na taarifa Tena kupitia chombo chake mwenyewe kwamba kutakuwa na mvua kubwa za el Nino. Na kwenye elnino inamaansha Kuna uwezekano landslide au mudflow zikatokea. Sasa akichukua hatua gani za kuwaandaa raia au alijiandaa kiasi gani iwapo kutatokea janga la landslide au mudslide?. Kwangu Mimi hii ni foreseen disaster sema hakuna aliyejali kati ya serikali na jamii husika
 
Kwa hiyo tuwahamishe wakazi wote waliojenga chini ya vilima Mwanza?, tunaweza tabiri elnino lakini hatuwezi kutabiri wapi? Inaleta impact zaidi kuliko maeneo yote!
 
Salamu za Pole kutoka Kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi.
IMG-20231204-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom