rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
unataka kumaanisha nini??Mnaosema Mungu awanusuru, angekuwa anaweza angezuia yasitokee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unataka kumaanisha nini??Mnaosema Mungu awanusuru, angekuwa anaweza angezuia yasitokee
Mambo ya Natural disaster tunachanganya na siasa, tunaharibu kabisa, majanga ya namna hii si ya kuibeza serekali kwani huweza kutokea popote pale, na huwa nje ya uwezo wa akili na sayansi zote za kibinadamu.
Nataka kumaanisha kukutafuna marinda kimaskhara.unataka kumaanisha nini??
Dunia haina hurumaunataka kumaanisha nini??
Kwa hiyo tuwahamishe wakazi wote waliojenga chini ya vilima Mwanza?, tunaweza tabiri elnino lakini hatuwezi kutabiri wapi? Inaleta impact zaidi kuliko maeneo yote!Kwenye natural disasters Kuna mambo mawili, Foreseen disasters na unforeseen disasters. Kwenye unforeseen disasters ni kwamba vyombo vya Dola au jamii haikuwa na taarifa yeyote kwamba janga Hilo litatokea. Kwenye foreseen ni kwamba serikali na jamii Zina taarifa za mapema kwamba janga litatokea au linaweza kutokea.
Kwa issue ya Hanang serikali ilikuwa na taarifa Tena kupitia chombo chake mwenyewe kwamba kutakuwa na mvua kubwa za el Nino. Na kwenye elnino inamaansha Kuna uwezekano landslide au mudflow zikatokea. Sasa akichukua hatua gani za kuwaandaa raia au alijiandaa kiasi gani iwapo kutatokea janga la landslide au mudslide?. Kwangu Mimi hii ni foreseen disaster sema hakuna aliyejali kati ya serikali na jamii husika
Maporomoko ya ardhiHayo hayaitwi mafuriko. Kwa nini tunashindwa hata kuelewa vitu ambavyo ni so basic. Ni sawa uite ziwa ni mto.
Kilichotokea unaweza kusema ni mass movement au hata ukisema lanslide, unakuwa hujakosea.
Labda Konde!Mimi ningekuwa celebrity wa bongo kama Diamond, Ali Kiba au harmonize
Ningeenda Hanang kutoa misaada
Hata kama nitakopa
Hiyo ni landslide! Volcano ni mlipuko wa matope ya moto na landslide ni maporomoko ya mlima uliozidiwa na maji kutokana na mvua!
Mudslide!Hiyo ni landslide! Volcano ni mlipuko wa matope ya moto na landslide ni maporomoko ya mlima uliozidiwa na maji kutokana na mvua!
Kwa saada zaidi ingia gugol mkuu utapata erimu 😎kwamba tope lote lile limeflow bila kuwa na landslide???
Mlima hanang unashusha mafuriko ya matope, katesh inafunikwa.
Inahisiwa kwamba crater ya juu ya mlima imezidiwa na maji na kupasuka.
Video hapa chini ni karibu na stendi ya katesh.
View attachment 2832069
Kwanini iliitwa hanang? Ni kikorea au kichina?