Manyoni : TZS 3.5BL za Rais Samia kujenga shule ya "Singida Girls"

Hivi ilitelekezwa na nani? Uzuri utoto huu waanza kuporomoka.
 
jamaa hawanaga code😂 ukiwa kada ni kutupia tu jezi ya chama mwaka mzima,kazi yako wewe ni kushona suruali nyeusi kama mbili tu (nazo nahisi wanapewaga vitambaa bure)
Khaaaa, Kweli watu wanamiliki Serikali wawe hivyo,
 
Ukiona wilaya haipati maendeleo jaribu kuangalia wazawa na viongozi wazawa wa hiyo wilaya, acheni kulaumu viongozi, kuna baadhi ya wilaya wazawa wamejaa Majungu na hawapendi kuona watu wakifanikiwa unategemea nani atakuja kuwachangamsha mpate maendeleo?
 
Masahihisho plz.. sio rais kujenga ❌ Ni serikali kujenga ✔️ Mnapotosha sana kizazi hiki.
 
Hilo si ndo lilikuwa Jimbo la mke wa Robert Amsterdam?,hongera kwa serikali ya CCM kwa kuwakumbuka wananchi waliotelekezwa na Mrs Robert Amsterdam
Manyoni imewahi kuwa Ikungi? shame on you, all in all maendeleo hayaletwi na Mbunge pekee na wakati hapo kuna DED, DC, DAS na Mwenyekiti wa halmashauri, hawa wote kazi yao nini?
 
mnapeleka shule kwenye Hilo jangwa la kitinku ili iwe nini??? mmekosa maeneo mazuri ikungi, puma, ihanja huko??? kama ni hivyo iiteni manyoni girls na sio singida girls wapuuzi nyieee, Kwanza huko makutupora kitinku ni Dodoma Hiyo Sisi hatuihesabu kama ni singida Hiyo.
 
Daaah wanayaturu kiboko
 
Daaaah!!!

Huyu Samia huyu, kwakweli tukiacha roho mbaya huyu mama anafanya kazi kubwa sana ya kuijenga upya nchi yetu
Ashukuru hera za UVIKO..mkopo zingekuwa kodi za kukusanya angekuwa analia
 
Mnatukata tozo, next mapato yake yanaenda kwenye sera na ilani ccm
Eti maushungi katoa 3bilion za kuchangia elimu ya kumdanganyia mnyonywaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…