Maombi, sala na dua za mke wangu ni kero kwangu

Mimi nasema hakuna huyo mwanamke
 

Kavamiwa na mapepo anahitaji kuombewa
 
mkuu hapa umesema uko na jamaa ako kitandani
nikajua wewe ni KE... halafu hapa tena unaombewa uwe MUME bora

1+1=2
mkuu wewe umesharuka ukuta?
wewe na mke/mme wako mko upande wa pili kwenye upinde wa mvua?
😂😂😂
 
Mkuu acha mzaa kwa imani ya mtu aisee cos akiamini anaomba upigwe ukoma utapigwa tu mim staki nipoteze mtu sababu ya zalau so achana na imani yake budaa
 
Anaacha kuombea uchaguzi anakazana na wewe na pombe [emoji3]
[emoji23][emoji23] uyo wako ni noma huwa najiuliza kama mwanaume unatimiza majukumu yako kwa familia hiyo pombe ina effect gan kwake mpaka iwe hivyo
Wakuu, mtu asiyependa pombe kuwa na mwenza mnywaji pombe ni karaha sana.
Kama hujanywa huwa kinywa cha mwenza wako kinanuka kama shimo la choo.
Bahati mbaya sana hatuna utamaduni wa kuvaa viatu vya wengine.
Ingefaa tuqe tunawauliza wenzi wetu kwanini hawataki mume awe mtumiaji wa pombe, inamkera nini?
Na mwisho wa siku tuchukue maamuzi sahihi.
Miss Renee
Naomba mchango wako
 

Sasa unajua kabisa mtu awezi acha na anakunywa kiasi kwa kistaarabu kabisa lakini bado unafosi yeye aache sidhani kama ni rahisi kufanikiwa katika hilo.
 
Kuna wanawake wapendi Amani...Wakiona wenzao waume zao wanachepukaa.. wanataka nao waume zao wao Hivyo Hivyo.

Sasa akishamjua huyo mchepuko wako akamuona yeye kamzidi uzuri atafanyaje.
.au atakupeleka kanisani kukushtaki kwa uzinzi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…