Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
vijana tujaribu kutembea sehemu mbali mbali tuone wenzetu navyo wanavyoishi...kuna elimu kubwa sana kwenye kusafiri kuliko hata io gedree ya DUCE....apa na wew unajiita msomi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].Baby Doll, mbona unaongea kwa majitambo sana ?.hivi bata huwa zinaliwaje vile ?
Hivi nikinunua hiko kipande na sina hela ya kujenga si bure tu[emoji13][emoji13]mwisho wasiku kionekane kimetelekezwa kiuzwe tena[emoji13][emoji13].Hahaha no; sijamaanisha ivo
Mimi na amini mtu anayefanya vyote hivo; ni ngumu Kukosa kijipesa cha kwenda hata mlandizi maeneo ya ngeta uko kuchukua kipande cha 500k _700k
hata VX ukiwa hujui ni nini haina ishu saana.Kama ni ardhi hapo handeni heka moja ni laki mbili.
Sio ishu sanaaaaa ardhi.
ukipata fursa ya kusafiri safiri sana,na si lazima nje ya nchi kama huna uwezo uo hata mikoani tu,ukitembea mikoa kama mi 3 hivi tofauti basi hakika hautobaki kama ulivyokuwa mwanzo!!Sikua nalijua hili mkuu..mie huwa mvivu sana kusafiri..ila imenifumbua macho sana!..unaona kbs ulikua umejifungia kwenye kijibox
ukipata fursa ya kusafiri safiri sana,na si lazima nje ya nchi kama huna uwezo uo hata mikoani tu,ukitembea mikoa kama mi 3 hivi tofauti basi hakika hautobaki kama ulivyokuwa mwanzo!!
Ardhi hapo ilipo kama ni ulaya au marekani sio petty issue kama ulivyo iita . Ni unthinkable issue, sababu ardhi yote ni mali ya watu tena walio wachache (mabwanyenye) na hawauzi kirahisi rahisi. Na hata wakiuza nani ana uwezo wa kununua. Only millionaires and billionaires can afford.ardhi ni issue kwenu wabongo..huku dunian tulipo watu hawaangaiki na petty issues kama hizo.
Unamaanisa ndama au ka ng'ombe kaliko kondeana?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena siyo ng'ombe moja ni kang'ombe kamoja
nakubari, ukisafiri unakuwa raia halali wa dunia, kukaa nchi moja unakiwa kama mgeni duniani tenaj mwenye mawazo finyu.ukipata fursa ya kusafiri safiri sana,na si lazima nje ya nchi kama huna uwezo uo hata mikoani tu,ukitembea mikoa kama mi 3 hivi tofauti basi hakika hautobaki kama ulivyokuwa mwanzo!!
Ardhi hapo ilipo kama ni ulaya au marekani sio petty issue kama ulivyo iita . Ni unthinkable issue, sababu ardhi yote ni mali ya watu tena walio wachache (mabwanyenye) na hawauzi kirahisi rahisi. Na hata wakiuza nani ana uwezo wa kununua. Only millionaires and billionaires can afford.
Kama ni ardhi hapo handeni heka moja ni laki mbili.
Sio ishu sanaaaaa ardhi.
Kama ulijua ndio kelele zote hiz!Hongera kwa kumaliza deni la kiwanja chako...
πππ tafuta ardhi dogo.Dah..naona kajamaa jana waliitwa na babu yao wakakatiwa kila mtu kaeneo kake kaamua kuamka na akina sisi asubuhi hii!
wakuu mbona mnafeli sana leoKama ulijua ndio kelele zote hiz!
mkuu leo naomba nikupangie. sio lazima upange kila kitu weweTusipangiane maisha kila mtu atafute kutokana na kile anachohitaji
WOTE TUKIMILIKI ARDHI MBINGU ATAMILIKI NANI?Ili Mtanzania aendelee pamoja na mengine anahitaji kipande cha ardhi.
Bila kujali ni 1*1 au hekari 1000. Haiwezekani Mungu akuumbie dunia umiliki lakini wewe huna. Leo Mungu akisema kila mmoja asimame kwake ukabaki unatangatanga atakuchapa bakora kwa uovu wa kutomiliki ardhi aliyokupa.
Wakuu tumiliki ardhi. Una uwezekano wa kufa masikini ikiwa katika umri wa 25 huna ardhi au huna mpango mkakati wa kumiliki ardhi.