Maoni: Kama una miaka 25+ na humiliki kipande chochote cha ardhi (hata 2*2) kuna uwezekano mkubwa kufa masikini

Ukiwa na kiwanja kinakuzuia kuwa na pesa?
Wapi nimesema hivyo?
Kama umesoma vizuri comment yangu,nimezungumzia utajiri kama mfumo yaani pesa,viwanja na asset zingine zikiwa ndani ya huo mfumo.
 
Ngoja siku kodi ya ardhi ikiwa kubwa mtayakimbia hayo mashamba yenu
Hii ilitokea kwa jamaa zangu walikuwa wamejilimbikizia vitalu vya madini,sheria ilipobadilika waliviachia huku waliwekeza pesa nyingi kuvimiliki. Kujirundikia mataka taka bila kuwa na mpango kazi huwa nasema ni hofu ya kizembe isiyo na guarantee ya kukunufaisha.
 
acha uoga ndugu... 'time making ability'
 
sio kiwanja tu,najenga kabisaa,alafu hata kama nisingekuwa nacho hicho kiwanja wew ni nan uhukumu??wewe umechagua kuwekeza kwenye kiwanja na mwenyezi Mungu kakuwezesha kumiliki shukuru sio kuwapangia watu ambao priority yao sio kiwanja!!


kingne sio lazima wote tumiliki viwanja au tujenge,usitake kila mtu awaze jinsi unavyowaza wewe mkuu!!
Mbona huna sasa?
 
Ama kweli Aleshiba.............................?
 
Hakuna ukweli hapa,angalau ungesema 25 kijana hata huna kitanda angalau kidogooo ingeleta maana.
 
Unanunua kiwanja bei chee ndani ndani huko, huna mipango thabiti na pesa ya kujenga unabaki kukitembelea kila wikendi kukijulia hali kama kinaumwa.... huo ni wendawazimu tu kama wengine.
 
NI ARDHI GANI UNAYOZUNGUMZIA? MAANA UMEANDIKA KIUFUPI SANA, KUNA MAHALI 20,000/= TU UNAPEWA ENEO LAKO KUBWA KABISA UFYEKE UKAE
 
Big up dada njo unywe soda
 
aisee jamaa mmegomea kabisa mawazo niliyowapa.

yaani asilia zaidi ya 90 hadi sasa hamtaki kabisa maswala ya kiwanja wala shamba.

acheni hizo bhana,
 
Fact
 
Hapo nakuelewa sasa, hata mie natamani sana kuwa na ardhi kubwa ya kutosha hata vizazi vyangu vikarithi na kubakia. Ardhi ni mali haijalishi ipo wapi, japo maeneo yaliyoebdelezwa thamani yake ni kubwa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…