TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Kayataka mwenyewe kuwasikiliza hao na nina imani walimwambia usihofu wabongo watapiga kelele mwanzoni then wataacha na maisha yataendelea sasa hili dubwasha la bandari linawaka moto kila iitwapo leo hata dalili za kuzimika hazipo😁Wamemfikisha hapo , she should fire them . Mbona simple ?! Nasema something is wrong ? Some one is controlling her . Au she is on depression
Mpumxisheni Rais ana mambo ya muhimu ya Kitaifa kufanya badala ya upuuzi wenu mda wote.Licha kudai kukaa kimya na kuendelea kukaa kimya kuhusu sakata la Bandari lakini bado akazungumza, hakukaa kimya kama alivyodai ina first statement...
Ndio Iko hivyo kuna sehemu alisema Baba ASKOFU nimekusikiliza vizuri, ASKOFU alimpa makavu mengi sana ambayo hakutarajia hasa pale kwenye tukikemea kama tulivyofanya sasa msiseme tunachanganya dini na siasa.Licha kudai kukaa kimya na kuendelea kukaa kimya kuhusu sakata la Bandari lakini bado akazungumza, hakukaa kimya kama alivyodai ina first statement...
Tutakuwa wajinga kupingana na mapenzi ya Mungu na wewe ndiye mungu kwani unajua hadi ya 2030Mtatafsiri sana kauli za Dr Samia ila ndo mjue utawala wake ni hadi 2030. MTAKE MSITAKE. Hakuna wa kuzuia hilo.
TEC ni Vatican, Vatican wako na MAKUNDI kama "Jesuits" na "MAFIA," na mengine mengi. Dola ya Roma ndio hadi sasa inatawala dunia.samia huwezi shindana na taasisi kama TEC. Endelea kujifanya kibri na kushupaza shingo.
Hao wana mizizi mirefu utaumia.
PR please kirefu“Anahangaika na PR” in other word damage control wkt madudu yamesha mwagika
Kama hakuna anayemsikiliza jaribu kuchukua kipaza sauti umtolee matusi afu kama hutochezewa sehemu yako ya haja kubwa.Swali ni who even listens to her any more ?
TEC ndio watu gani nchi hii? Wana nini? Sasa tutawanjoosha mwanzo mwisho wapumbavu hao.samia huwezi shindana na taasisi kama TEC. Endelea kujifanya kibri na kushupaza shingo.
Hao wana mizizi mirefu utaumia.
mungu = Mungu. Kajifunze kwanza kuandika.Tutakuwa wajinga kupingana na mapenzi ya Mungu na wewe ndiye mungu kwani unajua hadi ya 2030
What a wishful thinking...![emoji23]Mtatafsiri sana kauli za Dr Samia ila ndo mjue utawala wake ni hadi 2030. MTAKE MSITAKE. Hakuna wa kuzuia hilo.
Ni amiri jeshi mkuu kwa majeshi, siyo kwa raia........sidhani kama una uelewa wa hili.Rais Samia ndiye mkuu wa majeshi yote nchini na kwakawaida jeshini huwa hakuna kumbembelezana wala lugha laini ya kufurahisha kwahiyo alichokizungumza ndivyo inatakiwa kuwa Kwa mtu ambaye ni amiri jeshi mkuu
It isn't a wishful thinking.. huu ndo uhalisia.What a wishful thinking...![emoji23]
Sitafanya lolote kwenye DP world agreement! Sitajibu nitanyamaza tu ila DP world watakabidhiwa bandari zote! Hakuna mwenye ubavu wa kuniambia cha kufanya mimi nimeamua! Sheria zitabadilishwa na Bandari watapewa hakuna mwenye ubavu wa kuleta fyoko! Ndio lugha ya nani kama mama hii! kama hamjui kusoma kati ya mistari.Rais Samia ndiye mkuu wa majeshi yote nchini na kwakawaida jeshini huwa hakuna kumbembelezana wala lugha laini ya kufurahisha kwahiyo alichokizungumza ndivyo inatakiwa kuwa Kwa mtu ambaye ni amiri jeshi mkuu