kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Waandish hawafai hapo wao wako zao pemben wanasoma mchezoWala hakuna kesi hapo, na chuo hakitakiwi kuthibitisha jambo lolote, wahusika wameshakiri wenyewe, kinachofuatia hapo ni kuwafutia hayo matokeo yao.
Ujinga unaenda kuwaharibia future hao watoto, kama matokeo yakifutwa maana yake hata vyeti walivyopewa kwa kufaulu masomo havitakuwa valid tena, na kwasababu hiyo, hata kazini kama walipata kazi kwa qualification zao, wataenda kupoteza ajira zao/yao.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mbona simpo Tu. Booklets huwa haziharibiwi. Itatafutwa ilipo itachunguzwa mwandiko, kama kuna security camera nk.Hapo ndio ngoma. watathibitishaje huo uchunguzi wao?
Dah yaan hawakuiona hiyo hatari kabla ndio hapo sasa unaweza kuwa msomi halafu huna maarifaKwa bahati jana niliwasikiliza nilishtuka nilivyosikia wakikiri wenyewe kufanyiana mtihani. Walikua na furaha kupitiliza hadi wakajikuta wanaropoka.
Kama ni mapacha wa kufanana hata kama kuna video footage, utathibitishaje kuwa huyu alimfanyia mtihani mwenzake?Ni ngumu kudhibitisha,un less chuo wa vidéo za CCTV. Halafu hao mapacha si wapumbavu,watajibu si kweli na walikuwa wanapamba content tu ili kuvuta hisia za watu.
Dah yaan hawakuiona hiyo hatari kabla ndio hapo sasa unaweza kuwa msomi halafu huna maaKwa bahati jana niliwasikiliza nilishtuka nilivyosikia wakikiri wenyewe kufanyiana mtihani. Walikua na furaha kupitiliza hadi wakajikuta wanaropoka.
Ni ngumu sana,kwani mwandiko mtu si anaweza badili .Any kisheria ni haiwezekani kudhibitisha,labda kama msimamizi siku ya mtihani angeshtuka na kumkamata huyo Kulwa/Dotto. Otherwise hakuna case.Hao ni mapacha ambao wanafanana sura sidhani kama miandiko yao inafanana pia. Wakitaka kutrace kwa mwandiko kama haifanani watakamatika tu.
Mkuu booklets huwa haziharibiwi haraka hivyo. Huifadhiwa. Zitatafuta zitachunguzwa.Sio rahisi kama unavyofikiri Kuthibitisha hicho kitu tena kwa Maneno yanayoongewa na watu wanaotafuta contents..
Akisema kuwa tulilipwa kutafuta contents
Hahahahaha kimeumana😂😂😂😂😂Mapacha Wengine wakae mguu sawa.
Chuo kikitambua kuna mapacha, finger print zitahusika
Kwenye uchunguzi mwandiko unaweza kuchunguzwa kujua ni wa nani kwa hiyo hapo wajiandae kisaikolojia😂😂😂😂Ni ngumu sana,kwani mwandiko mtu si anaweza badili .Any kisheria ni haiwezekani kudhibitisha,labda kama msimamizi siku ya mtihani angeshtuka na kumkamata huyo Kulwa/Dotto. Otherwise hakuna case.
How reliable is that, though?Kwenye uchunguzi mwandiko unaweza kuchunguzwa kujua ni wa nani kwa hiyo hapo wajiandae kisaikolojia😂😂😂😂
Tutajua mahakamani hayo.Ni ngumu kudhibitisha,un less chuo wa vidéo za CCTV. Halafu hao mapacha si wapumbavu,watajibu si kweli na walikuwa wanapamba content tu ili kuvuta hisia za watu.
Baba Levo alishtuka kwamba hawa wameshachemka, ila wao mpaka wanamaliza kipindi hawajashtuka! Ina maana Baba Levo ana akili kuliko hao wadada 😀Hamna kesi hapo Babalevo kuna kitu kakiongea hapo mwishoni listen carefully
Kama hawana ushahidi watawezaje kubainiAkihojiwa kwenye kipindi ,Pacha aliyekuwa anaisoma Chuo Kikuu Cha Udom pamoja na Mwwnzie wameingia matatani baada ya kuropoka kwamba alimfanyia Mwwnzie Mtihani wa marudio wa somo.la Hydrology baada ya kufeli Kwa kutumia kitambulisho Cha pacha mwenzake bila kutambulika...
Unataka tuzidi kuwaharibia?Chuo kitawezaje kuthibitisha hili?