Mapato ya Filamu ya Royal Tour kule AMAZON ni kufuru, kuingizia Tanzania zaidi ya TZS 1.5 Trilioni kwa mwaka

Exactly,washauri wa mwendazake na yeye mwenyewe wote walikuwa team ya upigaji tu,
Issue sio upigaji ila kinachofanyika ni wazi itakuwa ngumu kutekeleza nia ya kutangaza huo utalii, punguza siasa
 
Alichonifurahisha ni namna mradi ulivyoleta matokeo chanya mapema! Hapa Rais Samia amuepiga kwa controll kali! Ningekuwa mshauri wake ningemshauri hizo fedha zikaelezwe kwenye kulipa madeni huko nje!
Haiwezekani tukawa na dili kubwa kama hilo alafu tuendelee kunuka madeni!
 
We proud of her, tutamwonesha furaha yetu 2025
 
Hivi hili ongezeko la Chawa inchini pia ni athari za vita vya Ukraine na urusi?

Maisha haya!!!!
 
Hahaha katika watu wako 20 wanaokuzunguka kuna yoyote mwenye account ya Amazon?

Hao unaotegemea ww watanunua ni wakina Nani?

Kuna mtu gani maarufu kwenye hiyo movie?

Movie ngapi za Aina hiyo ww umewahi kununua online?
CHADEMA hamjawahi kuwaza kama wananchi kabisa aise
 
Mlisubiri Lissu aseme?
 
Rais mzima anacheza movie? hii ni aibu kwa taifa , yaani hata sisi Tanzania yenye watu Mil63 tunakubali vipi Rais wetu anachukuliwa mchana kweupe kwenda nje kucheza movie? , kweli walio sema Tanzania katika watu mil5 basi wenye akili timamu ni wawili au watatu hawa kukosea, na ndo mtaji mkubwa wa watawala wetu.
 
Hata wa Mexico alishacheza royal tour film
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…