kidereko
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 882
- 1,262
Exactly,washauri wa mwendazake na yeye mwenyewe wote walikuwa team ya upigaji tu,Huelewi unaonekana, hope washauri wake hawana akili kama yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly,washauri wa mwendazake na yeye mwenyewe wote walikuwa team ya upigaji tu,Huelewi unaonekana, hope washauri wake hawana akili kama yako
Issue sio upigaji ila kinachofanyika ni wazi itakuwa ngumu kutekeleza nia ya kutangaza huo utalii, punguza siasaExactly,washauri wa mwendazake na yeye mwenyewe wote walikuwa team ya upigaji tu,
We proud of her, tutamwonesha furaha yetu 2025Iko hivi,
Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100%
Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani,
Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo endelevu,
Nimeona kiongozi wa CHADEMA anayeishi Ughaibuni Mhe Tundu Lissu amehoji hii kwenye ukurasa wake wa Tweeter akitaka kujua pesa toka Mtandao wa AMAZONI ni mali ya nani?
Kwakuwa Tanzania ni mmiliki halali wa "Tanzania Royal Tour Film " mapato yote yatokanayo na filamu hiyo pia ni mali ya Watanzania ukiondoa gharama za Uendeshaji kule Amazoni,
Mtakumbuka AMAZONI inajumla ya Watazamaji na wanunuzi|wakodiji 175M kwa mwaka,
Gharama ya kukodi tu yaani kuangalia na kuondoka ni US$ 5.99 karibu TZS 15,000,
Wakati huo huo gharama za kuinunua video hiyo ni US$ 19.99 au TZS 46,000,
Kwakuwa Amazon inawanunuzi na wakodiji 157M Wa video zake kwa mwaka,
Hebu tukadirie filamu yetu ya Royal Tour ikodiwe tu na watu 100M kwa mwaka au kwa miaka,
Hii ni sawa na kusema
Chukua hawa wakodiji 100M zidisha kwa elfu 15 utapata jumla ya TZS 1,500,000,000,000 yaani TZS 1.5Trilioni ,
Kumbukeni hii ni pesa toka AMAZONI tu sio Utalii,
Ili kuweka rekodi sawa haya mapato ya TZS 1.5Trilioni ni kwaajili ya kukodi tu achilia mbali yale ya kununua sijayaweka hapa,
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa sana na huenda itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu mwingine kama yeye,
Sasa Tanzania huenda ikapata jumla ya zaidi ya TZS 1.5Trilioni toka Amazon kama mauzo ya Filamu yetu ya Royal Tour kila mwaka bila kuhesabu faida kubwa ya Utalii tuliyoilenga,
Wenye masikio na wasikie haya,
View attachment 2195022
View attachment 2195105
Jumbe Brown naungana na wewe 100%Mama Samia ni mtu wa mipango Sana ....
Hakika ni zawadi kwetu watanzania 🙏
CHADEMA hamjawahi kuwaza kama wananchi kabisa aiseHahaha katika watu wako 20 wanaokuzunguka kuna yoyote mwenye account ya Amazon?
Hao unaotegemea ww watanunua ni wakina Nani?
Kuna mtu gani maarufu kwenye hiyo movie?
Movie ngapi za Aina hiyo ww umewahi kununua online?
Dk 60 mkuu,Iyo film inatumia dakika ngapi?
Mlisubiri Lissu aseme?Iko hivi,
Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100%
Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani,
Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo endelevu,
Nimeona kiongozi wa CHADEMA anayeishi Ughaibuni Mhe Tundu Lissu amehoji hii kwenye ukurasa wake wa Tweeter akitaka kujua pesa toka Mtandao wa AMAZONI ni mali ya nani?
Kwakuwa Tanzania ni mmiliki halali wa "Tanzania Royal Tour Film " mapato yote yatokanayo na filamu hiyo pia ni mali ya Watanzania ukiondoa gharama za Uendeshaji kule Amazoni,
Mtakumbuka AMAZONI inajumla ya Watazamaji na wanunuzi|wakodiji 175M kwa mwaka,
Gharama ya kukodi tu yaani kuangalia na kuondoka ni US$ 5.99 karibu TZS 15,000,
Wakati huo huo gharama za kuinunua video hiyo ni US$ 19.99 au TZS 46,000,
Kwakuwa Amazon inawanunuzi na wakodiji 157M Wa video zake kwa mwaka,
Hebu tukadirie filamu yetu ya Royal Tour ikodiwe tu na watu 100M kwa mwaka au kwa miaka,
Hii ni sawa na kusema
Chukua hawa wakodiji 100M zidisha kwa elfu 15 utapata jumla ya TZS 1,500,000,000,000 yaani TZS 1.5Trilioni ,
Kumbukeni hii ni pesa toka AMAZONI tu sio Utalii,
Ili kuweka rekodi sawa haya mapato ya TZS 1.5Trilioni ni kwaajili ya kukodi tu achilia mbali yale ya kununua sijayaweka hapa,
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa sana na huenda itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu mwingine kama yeye,
Sasa Tanzania huenda ikapata jumla ya zaidi ya TZS 1.5Trilioni toka Amazon kama mauzo ya Filamu yetu ya Royal Tour kila mwaka bila kuhesabu faida kubwa ya Utalii tuliyoilenga,
Wenye masikio na wasikie haya,
View attachment 2195022
View attachment 2195105
kihere here chake,Serikali ingesema tuMlisubiri Lissu aseme?
Hata wa Mexico alishacheza royal tour filmRais mzima anacheza movie? hii ni aibu kwa taifa , yaani hata sisi Tanzania yenye watu Mil63 tunakubali vipi Rais wetu anachukuliwa mchana kweupe kwenda nje kucheza movie? , kweli walio sema Tanzania katika watu mil5 basi wenye akili timamu ni wawili au watatu hawa kukosea, na ndo mtaji mkubwa wa watawala wetu.
Kabisa yaani,Exactly,washauri wa mwendazake na yeye mwenyewe wote walikuwa team ya upigaji tu,
The same everything tofauti ni kipindi ndicho kimebadirika.Yale yaleeee ya hakuna kama magufuli!!
Sasa unadhani hao Amazon mafala, waweke tu bila kununua haki?Tumemuuzia nani lete ushahidi hapa,
Wazungu hawana roho ya kimasikiniUSD 19.99 [emoji2960][emoji2960][emoji2960] Kweli bila torrents maisha yangekuwa magumu sana