Mapenzi yanaumiza sana haswa kwa sisi wenye mioyo midogo

Unaweza kujiona unateseka peke ako kumbe una wenzako nimefarijika sana ๐Ÿค“
Ubaya wa mapenzi situation zinaweza fanana ila uhalisia wa maumivu ukawa tofauti, na mnavyopenda hela kususiwa kidogo na bwana anaekupa hela ni kama kusimamishwa kazi sekta binafsi. Ukiachika kabisa ni kama umepoteza kazi๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’ sitaki kusema mengi mkuu ila mahusiano yakienda mrama haswa kwa wanawake tunapata shida sna
.. hela
.. Upwiru
.. Upweke
Mimi naona mapenzi yafutwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ